TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.
Nimeshangaa kusoma kwamba eti kiongozi wa klabu ya Biashara anasema anachojali “ni fedha tu za Udhamini wa GSM, na hayo mambo mengine hayawahusu”. Hicho ni kiwango kikubwa cha kutojua wajibu wake kama kiongozi wa klabu ya Ligi Kuu, haki za klabu hiyo na vyanzo vya mapato.
.
Kwa kiongozi kama...
Tunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo.
Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF kuvaa nembo ya mdhamini yenye Rangi nyekundu. Sasa hivi tunaona simba ikigomea udhamini wa GSM...
Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao kwa kisingizio kuwa watoto hawaruhusiwi kuingia VVP.... Kwa kuona hivyo akaamua kuondoka yeye na...
DKT NDUGULILE AWAPONGEZA TFF KWA KUJENGA KITUO CHA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU KIGAMBONI
Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amekipongeza Chama Cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kujenga kijiji cha maendeleo ya mchezo mpira wa miguu katika Kata ya Kisarawe II, Wilaya ya...
Ndugu zangu narudia tena hiyo hela ya kuhangaika kwenda taifa kuangalia ujinga wa bongo subiri january ukaangalie makundi lunyasi hapo ni kama tutakuwa hatujahamia Rwanda.
Haijulikani hadi sasa watu wamehongwa kiasi gani kinawchowatoa akili kwamba simba amdharau kit supplier wake anayempa one...
Ndani ya Tanzania Football Federation (TFF) kumejaa vilaza ambavyo havijui maana ya mpira na matokeo yake ni kuingia mikataba inayovuruga tamaduni na brand za vilabu vya mpira.
Tulisikia juzijuzi hapa Yanga wakigomea kuvaa nembo zenye rangi ya mtani wake, na leo tunasikia sakata jingine la...
TFF Hamuiwezi Simba wala Yanga nchi hii,
Hapa yenyewe mnasubiri viingilio hivi mpige pesa!
Bila simba na Yanga nchi hii mtakufa njaa nyie..
Oneni mpaka viingilio mnapanga ninyi..
Yanga waligomea Twiga mwekundu,
Mwaka huu huu game iliahirishwa na mpaka leo Sio simba wala Yanga aliyewajibishwa...
Wanasports salaam.
Kwa zaid ya miaka 4 TFF na Simba wamekuwa maswahiba wakubwa hali iliyopelekea minong'ono upande wa Yanga kwamba TFF Soka anaibeba Simba.
Baada ya ujio wa GSM mitaa ya Jangwana mambi mengi yamebadilika lakin bado Yanga hawajaweza kupata ubingwa mbele ya Simba.
Msimu huu...
Demokrasia lazima ionekane ikitendeka kwenye taasisi zote za umma ikiwemo TFF.
Kwanini changuzi za TFF wenyeviti wanapita bila kupingwa kwenye nchi yenye watu zaidi ya elfu 60?
Rais wa TFF Bw. Karia kapita bila kupingwa na mwenyekiti wa bodi ya ligi Bw. Mnguto Nasikia nae anapita bila...
MWAKA 2018, CAF ilianzisha kituo cha usimamizi wa mechi ndani ya ofisi zake za makao makuu jijini Cairo, Misri.
Kituo hicho kinachoitwa MATCH COMMAND CENTER, hufanya kazi kama moyo wa mtiririko wa taarifa za mechi za mashindano yote ya CAF.
Kituo hiki kimefungwa kwa teknolojia ya hali ya juu...
Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners yenye nembo za Gsm na Utopolo fc na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini...
Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio kama ayo yanatokea Sana na watu wanakaa kimya kwakuwa tiyali anaefaidika anakuwa keshavuna point zake.
Matukio kama haya...
Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je Serikali yetu Ina moles wake mule TFF?
Je, maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri Afrika Mashariki na Kati nani anayalinda?
Kuna muda ilitoa Maamuzi (Taarifa) fulani kuwa Wao ndiyo wameongoza sijui kwa kujaza Watu Uwanjani na kama kawaida yao Washamba na Mashabiki zao 'Oya Oya' wengi 'Wakashangilia' Mwezi mzima utadhani ndiyo wamebeba Kombe la VPL.
Hatimaye leo ndiyo TFF katika Utoaji wa Tuzo zake imeamua kuwafanyia...
Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF, pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau, hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro.
Haya maji ya Uhai, Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa?
Nilipokuwa mdogo baba alikuwa akinipenda sana Mimi kuliko ndugu zangu wengine , lakini alinipenda tu na hakuwahi onesha upendeleo wa wazi ..TFF mmefeli katika hili ...huenda timu nyingine za ligi kuu hazina kura ya veto TFF
Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze.
Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa!
Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku saba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.