MWAKA 2018, CAF ilianzisha kituo cha usimamizi wa mechi ndani ya ofisi zake za makao makuu jijini Cairo, Misri.
Kituo hicho kinachoitwa MATCH COMMAND CENTER, hufanya kazi kama moyo wa mtiririko wa taarifa za mechi za mashindano yote ya CAF.
Kituo hiki kimefungwa kwa teknolojia ya hali ya juu...