Mayweather, ambaye ni promota wa ngumi na bondia wa zamani, amenunua jumba hilo katika kisiwa cha Palm Island na lina vyumba tisa vya kulala na mabafu 10.
Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather, ambaye amejipachika jina la "Money (fedha)", amenunua jumba la kifahari lililoko kisiwa cha Palm...