thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. TAKUKURU yaipa Mt. Meru Hospital michango yenye thamani ya Tsh. Milioni 15

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, imepokea dawa na vifaa tiba pamoja bidhaa zingine vyenye thamani ya shilingi million 15 kutoka kwa Watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania TAKUKURU kwa lengo la kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya Wakati. Akikabidhi...
  2. Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

    1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya 2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia...
  3. T

    Dollar inaanza kupanda thamani dhidi ya Shilingi

    Hapa katikati kumekua na mtiririko mkubwa na wa kushangaza wa kushuka kwa kiwango cha kubadilishia fedha hasa Dollar ya kimarekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania. Hali hiyo ilipelekea watu wengi kujiuliza maswali mengi na kukosa majibu. Wengi walifikiri labda ni matokeo ya uchaguzi wa Marekani...
  4. Thamani mojawapo kuu ya dini ni tumaini la faraja angalau baada ya maisha mateso ya hapa duniani

    Kuna watu wanateseka sana kwenye hii dunia, wengine wanateseka tangu wanazaliwa mpaka wanakufa, wengine wanateseka nusu ya maisha yao yote n.k Fikiria watu wanaugua kansa za kila aina, watu wanapata ajali wanabaki vilema wasiojiweza maisha yao yote, watu wanafungwa maisha au miaka mingi pasipo...
  5. F

    Mnaofurahia kuporomoka kwa Dolla ya Marekani hamjui mchezo wa thamani ya fedha na ni nani anayechezesha mchezo huo.

    Hata kwa maneno ya Governor wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa dola itaanza kupanda tena kuanzia February 2025 unaweza kujua tu kwamba kila kitu kipo kwenye control. Wasilolijua watu wengi ni nani hasa huyo yupo kwenye control ya haya mambo. Si mwingie ni Mmarekani mwenyewe! Kuna wakati nchi inaamua...
  6. DC Lindi Amulika Miradi ya Elimu, Asisitiza Muda, Ubora na Thamani ya Fedha

    DC LINDI AMULIKA MIRADI YA ELIMU, ASISITIZA MUDA, UBORA NA THAMANI YA FEDHA Mkuu wa wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva amesisitiza Miradi ya elimu kukamilika kwa wakati, Ubora na thamani ya fedha ambapo ameyasema hayo akikagua miradi ya Elimu Sekondari katika Manispaa ya Lindi akianza na Miradi...
  7. Tanzania yasaini Mikataba Minne (4) Yenye Thamani ya Billion 323.4

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo La Ufaransa (AFD) wamesaini mikataba minne (4) yenye jumla ya euro milioni 118.8 sawa na takriben shilingi bilioni 323.4 kwa ajili kutekeleza miradi mbalimbali nchini ikiwemo Awamu ya Pili ya mradi wa nishati jua wa Kishapu Mkoani Shinyanga, pamoja na...
  8. Sarafu zenye thamani ya Shilingi 20, 10, na 5 ikiwezekana hata chini ya hapo zirudishwe

    Jaribu kufikiria, je kama sarafu za Tsh 500,200,100,50 nazo zingeondolewa inamaanisha leo hii kitu ambacho unanunua kwa Tsh 50 utakinunua kwa Tsh elfu1. Kitu ambacho unakinunua kwa Tsh elfu 1 utaenda kukinunua kwa elfu 10. Sasa ni heri hizi pesa ndogo ndogo zirudishwe kwenye mzunguko italeta...
  9. Thamani ya Mwanamke katika jamii

    THAMANI YA MWANAMKE KATIKA JAMII. Mwanamke amekuwa nguzo muhimu sana ndani ya familia pale ambapo mwanaume anakuwa hajui wajibu wake ndani ya famili , Hii imekuwa ina tokea katika nyakati tofauti Tofauti , inafikia Time hadi mwanamke anapambana kuhudumia familia kwa kutafuta chochote kitu...
  10. Kwanini viongozi wa Afrika hawaoni thamani ya raia wao ?

    Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo...
  11. G

    chupi / boxer za mitumba zipigwe marufuku, ni bidhaa zinazoshusha utu kuliko kuyamudu maisha kiuchumi

    Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke) Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe Matone ya mkojo hudondokea Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao) Kwa wanawake zina zinagusa Period Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original...
  12. Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

    Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana. Yawezekana yupo kwenye period...
  13. Ukiwa kila siku unapata Furaha basi hutoona thamani ya furaha

    Kawaida ya binadamu kitu chichote ukikipata kwa wingi na kwa urahisi basi thamani yake hutoiona, mpaka siku hiyo neema ikutoke. Mfano mzuri Yanga ilikuwa ikishinda goli tano tano mara nne nne mashabiki ilikuwa ikitokea wameshinda moja au mbili wanalalamika, hawakujua ile ni neema tu. Leo...
  14. Dalili saba zinazoonyesha kwamba wewe ni mtu wa maana au mwenye thamani

    Mosi,unajua unaweza usikubaliane na watu baadhi ya mambo bila kuvunjiana heshima,na unaweza usikubaliane nao bila kupandisha sauti yako. Naam pamoja na kutokubaliana na watu katika baadhi ya mambo lakini haikupi sababu ya kuwavunjia watu heshima yao. Pili,unaweza kuhudhuria sehemu kwa muda...
  15. T

    Jinsi vijana wasivyojua thamani ya muda

    JINSI VIJANA WASIVYOJUA THAMANI YA MUDA LIFE BEGINS AT 40.... HOW OLD ARE YOU? Life Begins at 40.... Huo ni msemo wanao Waingereza wakimaanisha maisha yako ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa au toka umefika duniani na toka umeanza kukua nk nk lakini bana maisha #halisi...
  16. Biashara ya stationery ya mtaji mdogo iliyoongezewa thamani

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu. Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...
  17. Serikali Kuwezesha Vifaa vya Uongezaji Thamani Madini ya Vito na Sonara kwa Vijana Wahitimu wa Kituo cha Jimolojia (TGC)

    SERIKALI KUWEZESHA VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA WAHITIMU WA KITUO CHA JIMOLOJIA (TGC) ● Ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT) ⚫️ Wizara ya Madini kuwapatia vifaa kwa lengo la kujiajiri ● Kuwajengea Uwezo wa masoko na...
  18. Mwanaume jua thamani ya mdomo wako

    Kabla mambo hayajawa mengi ni ufala kwa mwanaume kuanzisha mahusiano yoyote kwa gia ya pesa. Kifupi ukianzisha hayo mahusiano jua umesaini mkataba wa kutumika. Na utatumika kama kondom vile. Yaani ponea yako labda upasuke. Hata vitabu vitakatifu vinakuambia hapo mwanzo kulikua na neno. Ndio...
  19. Kila nyakati na majira yake! Thamani yako itakoma ukitoka kwenye cycle

    Kama kuna la kujifunza wengine wajifunze sasa. Na ni lazima wajilazimishe kutambua ya kwamba kuna kesho. Na kesho ni kubwa kuliko leo Watoto wa wanasiasa.. Wazazi wenu baadhi mikono yao imejaa damu za watu. Wengine walifika walipofika kwa kuwakandamiza na kuwaumiza wengine. Watoto wa wanasiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…