thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. Mganguzi

    Uchaguzi wa serikali za mitaa unapewa thamani kubwa namatumizi makubwa ya fedha lakini viongozi hao hawana posho Wala mishahara,

    Wasimamizi wa vituo vya kujiandikisha wapiga kura wanalipwa 350000, kwa mmoja ,kituo kimoja wakiwa wanne ni zaidi ya 1.2m ,kwa nchi nzima ni mabilion ya pesa !! Kwanini mnathamini mchakato na sio ajenda? Mkishawachagua hao viongozi wanaanza kujitolea hawana hata posho Wala mishahara ,ifike...
  2. Mtoa Taarifa

    Je Wajua? kampuni za Adani Group zimewahi kuripotiwa kufanya Ulaghai na kushushwa thamani ya Utajiri wake kwa Dola Trilioni 27.9

    Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa zaidi ya Tsh. Trilioni 60 kutokana na kudaiwa kufanya Udanganyifu kwenye masuala ya Hisa na Masuala ya...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Usije ukajidanganya mchepuko ni bora kuliko mkewe. Thamani ya mke ni kubwa kuliko wewe

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana. Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye Maisha yake, ukamuibia Pesa, sijui ukamtapeli mashamba au Ardhi akaumia na Wakati mwingine anaweza...
  4. Bams

    Watanzania Tujue Thamani ya Uhai wa Mwanadamu

    Shetani ameingia kwenye nchi yetu, anayetaka kutuaminisha kuwa uhai wa mwanadamu si chochote, unaweza ukauondoa wakati wowote unaoutaka, tena kwa sababu za kipuuzi kabisa, eti wanakosoa Serikali. Vyeo na madaraka hupewa mtu yeyote ambaye wanadamu wameamua, lakini tujue kuwa hata katika umoja...
  5. Stephano Mgendanyi

    Madini ya Dhahabu ya shilingi bilioni 3.4 yakamatwa Bandarini yakitoroshwa

    Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio...
  6. Marco Polo

    Msanii Jay Combat ni Jiwe la thamani lisiloonekana

    Nilikuwa kwenye daladala jioni moja kutoka kwenye pirika zangu mara ndani ya gari Kuna wimbo ukawa unapigwa nakumbuka kiitikio tu " Wivu mama" ulinivutia sana ule wimbo hasa sauti ya mwimbaji na mashairi yake na ukizingatia ulikuwa ni wimbo wa singeli ikabidi niingie YouTube kutafuta ni msanii...
  7. fakhbros

    Tamani ina masharti

    Thamani Inamasharti Watu huonyesha kupendezwa na wewe unapokuwa tajiri, unapokuwa unawavutia katika kitu furani au haupo tena duniani. Madhara ya Hasira Maamuzi yanayofanywa kwa hasira hayawezi kubadilishika baada ya matokeo nyakati zako za ghadhabu sio nyakati bora za kuamua chochote...
  8. Chachu Ombara

    Lema: Nilitegemea mpaka sasa baada ya statement ya Rais Samia kuhusu mauaji ya Ally Kibao basi Waziri Masauni, IGP wawe wamejiuzulu

    Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao. Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi...
  9. Mhafidhina07

    Thamani ya Maisha ni furaha,sio pesa au kitu chochote.

    Leo nilikuwa na bando la kuchezea nimejikuta naangalia video za vichekesho/vijana wanaoitwa machawa Baba Levo,Mwijaku na Huyu Doto Magari nimeona jinsi gani hawa jamaa wanavyoishi kwa ujanja ujanja kwa kutumia vinywa vyao kuzusha misamiati,kujichekesha hovyo na kutoa maneno ya kufurahisha jambo...
  10. K

    Tunapoendelea uko mbele urais wa Tanzania utakosa thamani?

    Niaonayo yanayoendelea hapa Tanzania uko mbele urais wa Tanzania utakuwa kitu cha kawaida na utakosa thamani . Kwa sasa urais wa Tanzania ndio unatafuta umaarufu badala ya umaarufu kuufuata urais . Ndio maana uelekeo wa siasa za Tanzania ni kutafuta umaarufu kwa gharama yoyote hata kwa kutumia...
  11. Stephano Mgendanyi

    Wadau Waitikia Wito wa Rais Dkt. Samia wa Kuongeza Thamani Madini Nchini

    WADAU WAITIKIA WITO WA RAIS DKT. SAMIA WA KUONGEZA THAMANI MADINI NCHINI -_Waziri Mavunde aweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini Kinywe(Graphite) -Zaidi ya Ajira 300 za moja kwa moja kupatikana -Tanzania kuwa mmoja ya wazalishaji wakubwa wa madini kinywe Afrika...
  12. Nyanda Banka

    Viashiria 7 kuwa wewe ni mtu wa thamani kubwa

    1.Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwakosea heshima. Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwapandishia sauti. 2. Unaanza kujitokeza na kuondoka katika muda ulioupanga. Watu wanakufahamu kwa umakini wako wa muda. 3. Unaacha kuwahukumu watu kutokana...
  13. SAYVILLE

    Tujenge utamaduni wa kuwapa thamani wachezaji wazawa

    Kuna haka kautamaduni tunako waswahili ka kuwachukulia poa sana wachezaji wazawa. Inafikia wakati wanalipwa mishahara duni, wakitaka kuuzwa wanauzwa kwa pesa ndogo sana kiasi kwamba hata haitajwi kwa aibu. Nadhani wakati umefika tujenge utamaduni mpya. Embu nisome kidogo... Huko Uingereza wana...
  14. W

    Thamani ya Medali za Olympics

    FAHAMU THAMANI YA MEDALI ZA MICHEZO YA OLYMPICS 2024 1. Medali ya Dhahabu Thamani: Tshs. Mil 2.56 Uzito: Gramu 529 2. Medali ya Chuma Thamani: Tshs. Mil 1.3 Uzito: Gramu 525 3.Medali ya Shaba Thamani: Tshs. 35,077 Uzito: Gramu 455 =====For English Audience====== The Olympics gold medal...
  15. Pfizer

    Equity, PASS na MCODE kukuza mnyororo wa thamani katika kilimo

    WAKULIMA nchini wameshauriwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na taasisi za kilimo pamoja na kibenki zinazolenga kuwawezesha kukuza mnyororo wa thamani katika sekta na hatimae kuchangia pato la taifa. Haya yameelezwa mkoani dodoma katika maonesho ya kilimo na ufugaji maarufu nane...
  16. greater than

    UTT una thamani zaidi ya Trillion 1.5

    Mfuko wa wa uwekezaji wa pamoja a.k.a UTT mnamo tarehe 16/ 6 /2023 uliweza kufikisha thamani ya Shillingi Trillion moja na nusu (1,500,000,000,000/=). Yaan kwa ufupi,mfuko huu umefika hadhi sawa na benki kubwa kama CRDB,NMB au kampuni ya wapendwa TBL... Ndani ya mfuko huu kuna mifuko 6 1...
  17. Pfizer

    ALAF yakabidhi mabati yenye thamani ya Sh35m kwa MOI

    ALAF Limited (Tanzania), moja ya makampuni yanayoongoza katika kutoa suluhisho kwa ujenzi imekabidhi mabati yenye thamani ya Sh35 milioni kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kusaidia mradi wa ukarabati wa taasisi hiyo. Akikabidhi msaada huo MOI, Ofisa Mawasiliano na...
  18. Roving Journalist

    Waziri Nape: Wananchi ipeni thamani miradi ya minara kwa kutumia huduma za mawasiliano

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo uwekezaji uliofanywa na Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi hautakuwa na maana. Waziri Nape...
  19. Manyanza

    Mambo 5 ya thamani kuliko mwili wa mwanamke

    Mpendwa Bachelor, Ikiwa sababu kuu ya kuwa mwanamke ni kwa sababu ana kifurushi kikubwa cha mbele aka Manchester united na kifurushi cha nyuma aka Arsenal, basi hauko kwenye MAPENZI. Haijalishi unafikiria nini, ikiwa unaona tu mali yake ya mwili basi UMEPOTEA katika TAMAA...
  20. William Mshumbusi

    Usajili wa Simba uko kitapeli. Abdulrazack kutoka Supersport akichezea benchi (timu ya saba kwenye ligi) ana thamani kubwa mara nne ya Pacome

    Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu. Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu. Pacome...
Back
Top Bottom