thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. robbyr

    Makopo ya taka ngumu yapandishiwe thamani

    Kama mtanzania Kila Kona ninayopita baada ya mvua kunyesha nakuta mlundikano Wa MAKOPO ya vinywaji mbalimbali kutoka Kwenye makampuni makubwa hapa nchini. Tukitambua kuwa hizo ni Moja ya taka ngumu ambazo haziharibiki kabisa. Nina mapendekezo mengi namna ya kufanya MAKOPO haya yaweze kuisha...
  2. John_Anthony

    Kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1

    Jamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
  3. Lady Whistledown

    Rushwa katika Utoaji wa Tuzo za Sanaa hushusha thamani ya Tuzo husika

    Upendeleo katika utoaji wa tuzo ni aina ya Rushwa ambapo watu au makundi hutumia hongo au faida fulani kwa majaji au wapiga kura ili kuhakikisha kwamba wanatunukiwa tuzo katika tasnia ya sanaa. Tabia hii ni kinyume cha sheria na inaathiri uadilifu na uwazi wa mchakato wa utoaji wa tuzo, na...
  4. Not_James_bond

    Kushuka kwa thamani ya Tshs dhidi ya USD tatizo ni nini?

    Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?
  5. Mjanja M1

    Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

    1. Gambling 2. Kula sausages 3. Kutumia sukari 4. Kunywa Energy 5. Kulewa pombe 6. Kupiga punyeto 7. Kununua malaya 8. Kuchangisha mahari 9. Kula bidhaa za ngano 10. Kula kuku wa kisasa 11 .Kuwa na mpenzi mlevi 12. Kufanya ngono zembe 13. Kula milo 3 kwa siku 14. Kuvaa nguo za...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Hupaswi kutafuta fedha, unapaswa kujiongeza thamani ndipo fedha zitakutafuta wewe

    Mtu anayetafuta pesa ataishia kupata pesa ya kula siku moja au mbili kisha atakuwa mtumwa daima. Yaani kila akitaka kufanya jambo lazima ahangahikie pesa ya hilo jambo kisha atalifanya kwa taabu na kurudi tena kuhangahikia fedha . Itakuwa ni cycle ya maisha yake mpaka uzee au kifo No rest time...
  7. X

    Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

    Ukitoa 'K' mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano. Kwenye birthday yake ulimnunulia zawadi, hela ya salon na kumtoa outing, Kwenye birthday yako zawadi anayokupa ni kukuchanulia mapaja na kukupa uchi. Siku ya sikukuu ulimnunulia nguo mpya, wig, hela ya salon na vizawadi vya hapa na...
  8. Nkaburu

    Picha: Wanasiasa na Vito vya thamani kwenye maandamano by Lucas Mwashambwa

    Batanzania. Ni baeleze. Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post. Ameandika: Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
  9. L

    China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  10. Pfizer

    Waziri Kairuki azindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya shilingi bilioni 6

    • Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6, huku akiwataka Maafisa na Askari Uhifadhi kutumia vifaa hivyo kwa...
  11. Kidagaa kimemwozea

    Sarafu zenye thamani ndogo Afrika

    10 African countries with the weakest currencies in 2024. 1. São Tomé and Príncipe 22,281.8/$Dobra (STD) 2. Sierra Leone 19678.65/$Leone (SLL) 3. Guinea 8,583.4/$Guinean Franc (GNF) 4. Madagascar 4528.28/$Malagasy Ariary (MGA) 5. Uganda 3849.94/$Ugandan Shilling (UGX) 6. Burundi...
  12. ndege JOHN

    Samaki wanaoongoza kwa thamani

    Tunaoishi pwani ya bahari ya Hindi tunaenjoy sana masamaki poleni yenu mnaokaa bara.Sasa katika samaki wote wenye bei kubwa ambao pia ni rare sana kwa wavuvi kuwavua ni:- 1.nguru 2.songolo 3.kingfish 4.jodari 5.chewa Kwa mfano kuna professa hapo UDSM Na technian wake walikuja mtwara wakataka...
  13. Kaka yake shetani

    Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

    Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza. Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu. Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
  15. Pascal Ndege

    Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

    Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji. Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara. 1. Kuongeza export 2. kununua dhahabu 3. kupunguza matumizi ya serikali. 4. Mikopo ya hela za...
  16. T

    Mama ni dhahabu yenye thamani kubwa duniani

    Salaama? Leo nilkuwa napitia picha za zamani, nikakutana na picha ambayo ilinifanya nilie kwa furaha, mwanamke shupavu, aliyejaa tabasamu usoni akiwa na beseni lake nyuma akiwa amebeba mtoto aliyefungwa na kanga. Hakika nimekumbuka mbali sana. Mimi kipindi nakua mzee wangu alikuwa mlevi sana...
  17. Baba jayaron

    Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

    Aiseeh wanajamvi habari zenu Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana. Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini. Wakati...
  18. JanguKamaJangu

    Nigeria yateketeza Pembe za Ndovu zilizokamatwa zenye thamani ya Tsh. Bilioni 28

    Serikali ya Nigeria imeharibu Tani 2.5 za Meno ya Tembo zenye thamani ya zaidi ya Dola Milioni 11.2 (Tsh. Bilioni 28) ikiwa ni sehemu ya harakati za kulinda idadi ya Tembo inayopungua dhidi ya Walanguzi wa Wanyamapori waliokithiri. Ndani ya kipindi cha miongo mitatu iliyopita, idadi ya Tembo...
  19. L

    Mpango wa uwongo wa Marekani wenye thamani ya dola milioni 300 wafichuliwa

    Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili watoe ripoti mbaya kuhusu China. Inadaiwa kwamba kile...
  20. BARD AI

    Msemaji wa Serikali: Thamani misaada ya maafa ya Hanang imefikia Tsh. Bilioni 7.7

    Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni. Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu ambavyo thamani yake ni Sh2.5 bilioni huku fedha taslimu zikifikia Sh5.2 bilioni...
Back
Top Bottom