thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. Mnada wa Mhunze

    Yanga: Thamani ya Mayele ni bilioni 2.

    " ...why not! Brother mwenye yake bilioni 2 aje na tutamuuzia Mayele mchana kweupe!" Duru.
  2. Nyendo

    Bajeti yapendekeza kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
  3. African Geek

    Mwanamke ameumbwa na mali ndani yake ila sio mwanaume

    Siku hizi vijana wengi wa kiume wanaona ni haki yao kusaidiwa na mwanamke kwenye mambo ya kiuchumi, yaani mwanamme atafute na mwanamke atafute. Kuna wengine ndo wanataka walelewe kabisa yani wao ndo watafutiwe na mwanamke wapewe. Ila nawakumbusha. Mwanamke analetwa duniani akiwa na mali ndani...
  4. P

    Kushuka thamani kwa TZS dhidi ya USD ni speed ya 7G

    Habari wana JF, Naomba kuuliza: Hivi hii speed ya TZS kushuka thamani dhidi ya USD kuna maanisha nini kiuchumi? Asanteni
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Lofa hawezi kumiliki kitu cha thamani, Ukitaka kujua kuwa wewe si lofa tazama miliki zako utapata majibu.

    Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu. Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
  6. jokotinda_Jr

    Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

    Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa. Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale. Thamani yetu wanaume ni kubwa sana tubadilike...
  7. S

    SoC03 Mambo ya kuzingatia ili kupandisha uchumi wa nchi na wananchi pamoja na kupandisha thamani ya pesa ya Tanzania

    Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
  8. Mwl.RCT

    SoC03 Thamani ya Kazi na Uwekezaji: Njia Bora ya Kupata Fedha Zaidi

    THAMANI YA KAZI NA UWEKEZAJI: NJIA BORA YA KUPATA FEDHA ZAIDI Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya money(dot)com UTANGULIZI Thamani ni dhana muhimu sana katika maisha yetu. Inahusiana na jinsi tunavyothamini na kupima mambo na watu katika maisha yetu. Katika Makala hii, nitazungumzia...
  9. Ridhiwan36

    SoC03 Thamani ya kijana nchini Tanzania

    Tumeaminishwa kwa kipindi kirefu sana juu ya umuhimu wa kijana katika taifa linaloendelea. Tumeambiwa kuwa kijana ni nguvu ya taifa la sasa na lijalo, na kuwa ni juu ya kijana kuendeleza taifa lake. Zaidi ya asilimia 70 ya watanzania ni wa umri chini ya miaka 45, nchi hii imejaaliwa vijana wengi...
  10. F

    Tundu Lissu ukivurunda CHADEMA utasahaulika ungali hai!

    Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu. Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano. Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku...
  11. De Rama Msirikale

    Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

    Habari wapambanaji, Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
  12. benzemah

    Katavi: Mbaroni kwa kukamatwa na meno ya tembo yenye thamani ya milioni 247

    Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Hiifadhi ya Taifa ya Katavi, wamewakamata watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 247. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Ali Hamad Makame, alisema hayo mkoani hapa mwishoni mwa...
  13. GENTAMYCINE

    Tusidanganyane kwa sasa Wachezaji wote wa Yanga SC wana Thamani maradufu dhidi ya Simba SC

    Hata kama umefika Robo Fainali ya CAFCL mara Nne bado ni Kazi bure ( Work done Zero ) kwa yule aliyefika Fainali ya CAFCC. Kwangu Mimi GENTAMYCINE yule aliyefika Fainali ya CAFCC ndiyo Mwanamume na Yule aliyefika Robo Fainali ya CAFCL namwona ni Mwanaume / Mtoto na kuna muda namwona kama Mtoto...
  14. Zulu Man Tz

    Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
  15. GENTAMYCINE

    Radio One na Kipindi chenu cha Mazungumzo ya Familia huyu Mgeni wenu Maajabu 18 atawashushieni Thamani

    Zifuatazo ni Kauli zake za Kipuuzi ambazo hazivumiliki tena na zinakera amezisema Leo Jumapili tarehe 7 May, 2023 katika Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One..... 1. Mwanaume yoyote anayecheza VICOBA au yuko katika Vikundi vya Mikipo vya Mtaani ni Dhaifu na Hajitambui 2. Mwanaume...
  16. S

    Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

    Kwema Wakuu, Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi. Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
  17. Blue-ish

    Kujiona huna thamani kipindi huna mkwanja

    Hivi huku kujiona huna thamani kipindi huna hela husababishwa na nini? Au kuona aibu yani kama vile huko nje watu watakuwa wanajua huna kitu, au ile hali ya kujiangalia kwenye kioo uone unatisha umepauka, unajiona uko uko tu. Kutokuwa na hela kunatia unyonge sana.
  18. Torra Siabba

    Air Tanzania wanatuchukulia sisi abiria wao kama takataka zisizo na thamani

    Shirika la Ndege Tanzania ATCL ni moja ya mashirika ambayo kwa kipindi cha nyuma walikua na nidhamu ya muda wa kusafirisha abiria kuliko wengine Hususan kipindi cha mwendazake JPM Magufuli, Usiku wa kuamkia jana Aprili 16 nilipaswa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Dar majira ya saa 8:30 usiku...
  19. I

    Sarafu ya Russia yashuka thamani dhidi ya dola ya Marekani

    Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
  20. Scars

    Wale ambao wanapima thamani ya mnyama wa kufugwa katika jicho la kitoweo tu, mnalakujifunza hapa

    Helpful and caring Na hapo mbwa anafanya hayo yote bila expectations ya award huko peponi. Wanyama wakifundishwa na kuwa treated vizuri, wanakuwa na umuhimu na wenye msaada zaidi kuliko hata watu. Love is a universal language
Back
Top Bottom