Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
Habari za siri zimeanza kuvuja kuwa Kagame kageukwa na wazungu.
Leo mwendesha mashitaka wa mahakama ya ICC ameanza uchunguzi wa uhalifu wa kivita mashariki mwa Congo.
Inadaiwa mlengwa sio mwingine bali ni Rais wa Rwanda Paul Kagame.
Tusubiri tuone kama watafanikiwa kumnasa Chuma cha Pua.
Felicien Kabuga mmoja kati ya watuhumiwa wakuu tafikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC, ambako ameshtakiwa kwa Mauaji ya Halaiki na Uhalifu dhidi ya Binadamu, akitajwa kufadhili uhalifu huo dhidi ya Watutsi miaka 28 iliyopita.
Kabuga mwenye miaka 80 alikamatwa nchini...
Balozi Caroline Kitana Chipeta ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi
Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje
Mahakama Maalum ya Umoja wa Mataifa inayosikiliza mashtaka dhidi ya rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor imesema kiongozi huyo wa zamani ataendelea kutumikia kifungo chake nchini Uingereza, na si nchini Liberia kama alivyoomba hapo awali kutokana na kigezo cha usalama.
Kiongozi huyo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.