the royal tour

  1. maiyanga1

    Maswali kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kuhusu Royal Tour ya Rais Samia Suluhu

    Kwa sasa hivi rais Samia yuko kwenye Royal Tour akitengeneza filam ili kutangaza vivutio vya utalii kwa lengo la kuvutia watalii wa nje. Ni jambo jema sana. Maswali kwenu: 1. Gharama za kutengeneza filamu hiyo ni kiasi gani? 2. Je, gharama hizo zilipangwa kwenye bajeti ya 21/22? 3. Rais...
  2. Chee4

    Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
Back
Top Bottom