Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala, akichangia mjadala bungeni Februari 4, 2026, amesema utashi mkubwa wa Rais Samia umewezesha kukamilika kwa miradi mikubwa, na si rahisi kumpata rais wa aina yake.
"Rais Samia angekuwa Mvivu tusingekuwa na SGR, Bwawa la Nyerere wala Daraja la Kigongo Busisi...