Kampala: Rais Samia angekuwa mvivu tusingekuwa na SGR, huko mbeleni hatutampata rais kama Mama Samia

Kampala: Rais Samia angekuwa mvivu tusingekuwa na SGR, huko mbeleni hatutampata rais kama Mama Samia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala, akichangia mjadala bungeni Februari 4, 2026, amesema utashi mkubwa wa Rais Samia umewezesha kukamilika kwa miradi mikubwa, na si rahisi kumpata rais wa aina yake.

"Rais Samia angekuwa Mvivu tusingekuwa na SGR, Bwawa la Nyerere wala Daraja la Kigongo Busisi, haiwezekani miaka ya huko mbeleni tukampata Rais kama Mama Samia"

 
Lingine hili hapa! 🚮🚮🚮

20260205_090508.jpg
 
Back
Top Bottom