Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa,
Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali.
ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au store ya dawa za tiba asili.
Asanteni wapendwa.
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu...
Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada hii. Nimejaribu kwa kadiri ya uwezo wangu kuirekebisha kiswahili chake lakini nahisi hakiko sawa bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.