Kwa binadamu yoyote ambae ana akili timamu ni jambo lisiloepukika kupitia changamoto ya dharau, kashfa , kebehi , matusi kutoka kwa majirani, marafiki au watu wetu wa karibu kama mke , mume au familia zetu.
Tukiwa kama binadamu, hatuwezi kuzuia hali ya kuchukizwa , kuwa na nogwa au hasira...