tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. Chief Kumbyambya

    Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  2. mamma herbs

    Tiba ya nguvu za kike

  3. M

    Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

    Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.
  4. Stephano Mgendanyi

    Bilioni Sita Kukamilisha Ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Moshi, Bilioni 44 Vifaa Tiba

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha zaidi ya Bilioni 44 kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa Tiba pamoja na Bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Manispaa Moshi ambapo Hospitali hiyo ikikamilika itakua imegharimu Shilingi Bilioni...
  5. M

    Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  6. jangala22

    Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

    Habari za wakati Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
  7. The25824

    Tiba kwa wanaolalamika sanaaaa

    Kwenye haya maisha , ni rahisi sana mtu kulalamika sana juu ya kila kitu kuliko kutoa mbadala. Ni rahisi kukosoa sana kuliko kuelekeza kwa njia nzuri ya kujenga wala sio kumponda au kumdhalilisha mwingine. Ili kuacha tabia hii , Njia nzuri ni kujitahidi kuuchunguza moyo wako juu ya...
  8. E

    Nini Chanzo na Tiba ya Mafua kwa watoto wachanga?

    Habari! Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima. Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa. Amepata tiba mbali mbali za hospitali bila nafuu. Je, wenzangu mliopitia hapa mlifanyaje? Natanguliza shukrani!
  9. Hypersonic WMD

    Kichaa cha dini hakina tiba kipo kama kichaa cha mbwa

    Mtu akishapata kuchaa cha dini ndio basi tena. Dawa yake karne hii haipo. China wananyonga lakini wapi Kifupi hiki kichaa IKITOKA IMEENDAA
  10. Lager

    Msaada nini tiba ya insomnia..?

    msaada tafadhari usingizi nimekuwa nikipata kwa masaa machache mno tofauti na awali.
  11. The25824

    Ijue tiba ya ugonjwa wa kusikiliza kila maoni ya mtu

    Kwenye maisha kila mtu ana haki ua kutoa maoni yake kwa vile anavofikiria. Bahati mbaya wengi tumeshindwa kufikia ndoto zetu au kuamua mambo yetu kwa kuishia kusoma comments za watu humu ambao bila kutafakari tumeishia kufanya maamuzi ya juu kwa juu. Ni wangapi wameacha kuanza biashara kwa...
  12. Stability

    Wakuu nisaidieni tiba ya makelele masikioni.

    Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa. Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
  13. Forrest Gump

    Nisaidieni kupata tiba ya upele kwa mtoto wa miezi 8

    Tumesheenda hospitali mara 3 ila na kupewa madawa ya allergy, topical creams na sabuni, dawa za mchafuko wa damu ila bado hali hii inajirudia. Vipele vipo kwapani na miguu Karibuni wakuu.
  14. Roving Journalist

    Magwiji wa Tiba Radiolojia wakutana Muhimbili kujadili kuongeza wigo wa huduma hiyo nchini

    Magwiji wa tiba radiolojia duniani ambao hutumia vifaa kama vile CT-Scan, MRI, Xray, Angiography system, Utrasound n.k kufanya uchunguzi na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia matundu madogo, mapema wiki hii wamekutana Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutathmini hali ya utoaji huduma hiyo...
  15. Kazanazo

    Mtoto wangu anatafuna meno tiba yake nini?

    Jf doctors na wadau naomba msaada wa mawazo, mtoto ni wa mwaka mmoja ni wa kike nifanyeje ili kutibu tatizo
  16. realMamy

    Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  17. Mwizukulu mgikuru

    Leo nimepata tiba ya mning'inio (hang anxiety) hasa kwa walevi...

    Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na huzuni au mapigo ya moyo muda mwingine yanakuwa yanapiga kwa Kasi sana..ukiniona huwezi kujua kama...
  18. Copro mtego

    Waliotibiwa tiba mbadala

    Leo tupeane uzoefu kidogo kwa wanatumia tiba mbadala kama za wamasai, wachina, wakorea na makampuni mbalimbali kama BF suma. Naona zinauzwa sana Kariakoo dawa asili za kutibu kisukari, pressure, vidonda vya tumbo, bawasili, uzazi kwa wanawake na wanaume,nk Pia zinauzwa sana hata Mitandaoni na...
  19. A

    KERO Serikali tunaomba itusaidie wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tuajiriwe

    Serikali tunaomba itusaidie MUHAS! Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina wakufunzi walioajiriwa na wanaotufundisha wanajitolea kutoka Hospitali ya Taifa...
  20. A

    DOKEZO Serikali iajiri Wakufunzi MUHAS, Kitengo cha Sayansi ya Tiba kuna changamoto kubwa

    Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina Wakufunzi walioajiriwa. Wanaotufundisha wanajitolea kutoka...
Back
Top Bottom