tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kujitibu

    KAIMU Mkurugenzi wa huduma za tiba Wizara ya Afya Dk. Caroline Damiani, amesema, zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kwa ajili ya kujitibu magonjwa mbalimbali kabla ya kwenda katika vituo vya kutolea huduma za afya au baada ya kupata huduma katika vituo vya kutolea huduma za...
  2. Wu-Ma

    Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  3. GENTAMYCINE

    Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

    "Haiwezekani Mtu unasali Kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 12 Jioni au hata kwa Masaa 8 mfululizo ukawa Salama Kichwani mwako. Napenda mno Ratiba za Ibada za Waislamu na hata Madhehebu mengine ya Kikristo ambapo zimepangiliwa kabisa muda na hauzidi dakika 45 mpaoa dakika 90 au 120 tu na hazizidi...
  4. Joseph Kasa-Vubu

    Nini tiba ya maradhi ya Kidney cyst?

    Kwa muda wa mwaka sasa nimepimwa na kukutwa na hili tatizo katika figo ya kushoto( Kidney cyst 2.9cm x2.5cm ).Wakati mwingine huwa nasikia maumivu upande wa kushoto. Madaktari wanasema haina madhara ila maumivu wakati mwingine yanasumbua.Nini hasa tiba ya huu ugonjwa ikiwezekana hata tiba...
  5. polokwane

    Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  6. Elius W Ndabila

    Tiba ya malumbano yote ni Katiba

    MALUMBANO YOTE MSINGI WAKE MKUU NI KATIBA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na majibizano na hoja nyingi zinazoibuliwa na baadhi ya watu Mashuhuri. Majibizano haya yamezua mijadala mikubwa mitandaoni.Kila mtu anaibuka na umahiri wake mkubwa katika kutetea hoja yake anayoiamini. Hoja za...
  7. Bwana Mpanzi

    Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  8. Rogwa

    Msaada tiba ya Kisonono

    Natumai mu wazima wa afya, Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini haikusaidia kitu. Nimerudi hospital tena nikaandikiwa sindano moja kila wiki kwa wiki tatu pamoja na...
  9. Tutor B

    Ijue bustani ya asili yenye mimea lishe / tiba adhimu.

    Najua mpo mnaopenda kuenzi mambo ya asili, basi pitia hiyo atacchment naamini kuna kitu utajifunza. Kwa ufupi Posh Garden ni sehemu ambapo tunajishughulisha na uoto wa asili na kufanyia kazi tafiti mbalimbali.
  10. Ahmed Saidi

    Elimu yetu inahitaji tiba, iko hoi katika kitanda cha mauti

    Najaribu kutafakari ni vipi tunaweza kujikwamua ili tuwe na elimu bora, lakini nakosa majibu. Huenda shida si mtaala au content ya kinachofundishwa. Inawezekana tuna mtaala mzuri lakini tumeshindwa kudhibiti ubora wa elimu katika Mambo mengine. Kwangu shida kubwa katika mfumo wetu wa elimu ni...
  11. Suley2019

    Kagera: Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122

    Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122 Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122. Kamanda wa polisi Mkoa wa...
  12. swahiba Senior

    Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

    Habari zenu wana Jamvi. Nimefuatilia sana hili suala na nimeamua kuomba msaada na majibu,kwa wale wanaoiamini Biblia ktk historia ya Kuumbwa kwa Adamu na HAWA kiumbe huyu Nyoka ndiye aliyetumiwa na shetani kumdanganya HAWA na baadae Adamu na hivyo wakaingia ktk Dhambi na Mungu akaweka Uadui...
  13. Lububi

    Msaada tiba: shahawa haziruki!

    Umri: 42 Tatizo: Shahawa zinatoka rojo rojo bila presha. Nguvu za kiume: zipo Mkojo: presha ndogo na hauishi wote vzur kama vile valve mbovu. NINI TATIZO? NINI TIBA?
  14. MWANDENDEULE

    Nini chanzo, na tiba ya shingo ya kuku kupinda kuelekea kishoto au kulia kusiko kawaida?

    Huu ugonjwa unaopelekea kuku kupinda shingo kuelekea kushoto au kulia husababishwa na nini? Pia nini tiba yake?
  15. Ntiyakama

    SoC01 Tabia inavyoweza kuwa Tiba au chanzo cha tatizo la kuvimba miguu (peripheral edema)

    Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema) Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili. Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.” Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
  16. Ntiyakama

    SoC01 Tabia invyoweza kuwa Tiba au chanzo cha tatizo la kuvimba miguu (peripheral edema)

    Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema) Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili. Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.” Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
  17. E

    SoC01 Kila mtoto mwenye saratani anastahili fursa ya tiba

    Ilikuwa joto na kelele Ijumaa alasiri huko Mwanza Mjini, biashara kama kawaida katika Duka la Vifaa linalomilikiwa na Mzee Kitalu, anayejulikana pia kama Baba Jafari, ambaye alikuwa kwenye mazungumzo ambayo hakuona kumletea faida. “Baba Jafari, bei ni kubwa mno. Hizi ndizo pesa pekee tulizo...
  18. K

    Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

    Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani. Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
  19. B

    Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  20. Shadow7

    Je, una tatizo la ugumba? Fahamu sababu tano na tiba yake kwa wanaume

    Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hivyobasi mara nyingi hulazimika kujiondolea lawama hiyo na badala yake kusema kwamba kizazi cha wake zao ndicho chenye tatizo...
Back
Top Bottom