Natumai mu wazima wa afya,
Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini haikusaidia kitu.
Nimerudi hospital tena nikaandikiwa sindano moja kila wiki kwa wiki tatu pamoja na...