Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na...