Job Title: Head of Pricing, CVM and Business Analytics – MTMSL (Tigo Pesa)
Job Description
You drive adoption, penetration and ARPU of customers across all segments, products and services to ensure MTMSL meets its targets by designing and implementing strategies and initiatives that will help...
Job Title: Commercial Manager – MTMSL (Tigo Pesa)
Job Description
You are responsible for revenue budget achievement, product development, portfolio management, pricing and segmentation as well as to provision of business analytics for the tigo pesa corporate business decisions...
Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel.
Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa.
Hivyo, ukiwa Zantel yako unapata huduma za tigo pesa bila ongezeko la gharama yoyote ile.
Habari zenu wakuu,
Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.
Napokea maoni, ushauri na...
Tangu ongezeko la tozo kwa mitandao ya simu, mawakala wengi hususani Tigo Pesa na M Pesa wamekua wakigoma mtu kutoa pesa akiwa nje ya eneo la ofisi zao.
Jamaa yangu alikua anataka kunitumia pesa akashauri niende kwa wakala ili atoe hapo na nichukue pesa.
Wakala akakataa kwa hoja mtoaji yupo...
Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi.
Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani.
Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
Habari ndugu!
Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja.
Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400...
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu.
Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
Tigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu
Toka jana huduma ya Tigo pesa haipatikani, nimeongea na huduma kwa kwa wateja wanasema ni kweli huduma hiyo haipataikani ila mafundi wanapambana kushughulikia tatizo.
Kilicho nikwaza ni kukaa kimya kwa siku zote bila kutoa taarifa, leo nilitakiwa kufanya malipo ya watoto shule nataka kutoa...
Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze.
Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu,
Je, leseni ya biashara inapatikana kwa gharama kiasi gani (Mimi nipo mwanza sijawai miliki hiyo kitu ndo nata kuifuatilia Kisha nisajiri...
Tigo tusaidieni maelezo,*150*01# inagoma
inasema
"Ndugu mteja, namba hii haipo. Kupata huduma za Tigo Pesa, piga *150*01#"
wakati umepiha namba hiyo hiyo.
Wanazingua
Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya biashara hiyo ya MPESA na TIGO PESA kwa laini zisizo zenye majina yao, leo zimefungwa, watapata wapi laini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.