Moja kwa moja kwenye mada,
Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa changamoto ya namna ile ile.
Kwenye mfumo wa ukataji tiketi kumekuwa na changamoto ya kudumu, mfumo...
Habari wakuu naombeni msaada wenu,
Nimeingia katika mfumo wa ticket online wa SGR lakini hakuna urahisi wakukata ticket kwa treni ya saa kumi na moja na nusu alfajiri.
Kuna njia mbadala wakupata ticket haraka ya Al fajiri?