tiketi za sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Serikali inasubiri nini kitokee ili kumuwajibisha Mkuregenzi shirika la Reli, menejimenti na Bodi? Kwanini Mfumo wa Tiketi SGR uhujumiwe?

    Kuna matukio ya kusikitisha juu ya ujenzi wa Reli mpya mfano kusuasua kwa ujenzi, wizi wa vifaa na yote tisa kuonesha kuwa mfumo wa ticket umejaa ilihali treni husafiri bila abiria. Kwanini wahusika wakuu wapo ofisini? Nani anawalinda pamoja na hujuma zote hizi?
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tiketi za SGR 782,000 zanunuliwa lakini hazikutumika ndani ya miezi tisa

    Takribani tiketi 782,000 zilizonunuliwa kwa ajili ya huduma za treni ya Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) nchini Tanzania hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026, kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa bungeni. Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliuza tiketi milioni 7.64 katika...
  3. Nuel27

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

    Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa. Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
  4. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kukata tiketi za SGR kumerahisishwa zaidi

  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TRC sehemu ya kununua tiketi za SGR online haifanyi kazi, shughulikieni

    Wakuu, Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa huko kuwa sight yao kwenye kipengele hiko ipo down? Ujumbe uwafikie waheshimiwa TRC, fanyeni mambo...
  6. Good Father

    JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa ukataji tiketi za SGR unasumbua mara kwa mara, who is behind this?

    Moja kwa moja kwenye mada Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa changamoto ya namna ile ile. Kwenye mfumo wa ukataji tiketi kumekuwa na changamoto ya kudumu, mfumo sio...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ticket SGR mfumo unafunguliwa muda gani?

    Habari wakuu naombeni msaada wenu, Nimeingia katika mfumo wa ticket online wa SGR lakini hakuna urahisi wakukata ticket kwa treni ya saa kumi na moja na nusu alfajiri. Kuna njia mbadala wakupata ticket haraka ya Al fajiri?
Back
Top Bottom