Serikali inasubiri nini kitokee ili kumuwajibisha Mkuregenzi shirika la Reli, menejimenti na Bodi? Kwanini Mfumo wa Tiketi SGR uhujumiwe?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Kuna matukio ya kusikitisha juu ya ujenzi wa Reli mpya mfano kusuasua kwa ujenzi, wizi wa vifaa na yote tisa kuonesha kuwa mfumo wa ticket umejaa ilihali treni husafiri bila abiria.

Kwanini wahusika wakuu wapo ofisini? Nani anawalinda pamoja na hujuma zote hizi?
 
Oya mwanangu achana na hao watu unaumiza tu kichwa chako hakuna kitakachofanyika unapiga kelele za bure tu hapo hilo lishapigiwa kelele sana ila hakuna kinachofanyiwa kazi waache wale kwa urefu wa kamba zao walishaambiwa hivyo kwamba kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake na urefu wa kamba zao ndio huo wanakula
 
Hiyo movie Directors wapo yeye ni actor tu..
Hata akitolewa MA dairekta wataendelea na michezo yao
 
Kamanda kama unakunywa bia kunywa lewa kula ushibe. Mambo ya Malawi waachie Wamalawi wenyewe.
 
Kuna matukio ya kusikitisha juu ya ujenzi wa Reli mpya mfano kusuasua kwa ujenzi, wizi wa vifaa na yote tisa kuonesha kuwa mfumo wa ticket umejaa ilihali treni husafiri bila abiria.

Kwanini wahusika wakuu wapo ofisini? Nani anawalinda pamoja na hujuma zote hizi?
Raisi yupo eda . Isichanganye mambo wewe mwananchi. Ulimpigia kura? Kati ya zile million kadhaa Yako ilikuwepo? Mwache akae eda
 
Hii tanganyika kila sehemu ni kilio tu. Na bado kwa utawala huu w chura aka kizimkazi kila mtu fisadi na usipoiba wanakushangaa tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Oya mwanangu achana na hao watu unaumiza tu kichwa chako hakuna kitakachofanyika unapiga kelele za bure tu hapo hilo lishapigiwa kelele sana ila hakuna kinachofanyiwa kazi waache wale kwa urefu wa kamba zao walishaambiwa hivyo kwamba kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake na urefu wa kamba zao ndio huo wanakula
Sasa kuna maana gani kutumia Matrilioni ya shillingi kuijenga reli hii? Kwanini isiwe maji, madarasa, zahanati, barabara, umeme, mishahara, nk?
 
Mfumo mfumo mfumo mfumo mfumo,hiyo ni channel,Kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake,msilete taharuki,hujaelewa tu
 
Ukute kuna wadau kazi yao kila siku ji kununua ticket zote ili watu wakose then wanafidia kwenye mabas yao
Mm pia nilijiuliza kama mtu akifanya ivyo Kuna Faida atapata kwenye mabas ila naona kama atapata hasara zaidi ,mfano nauli ya SGRdar -Domb ni 31,500/ bas ni 40,000/- tofaut ya 8,500/- je atapata Faida gan? Au dawati la wakatisha tiket na watu wa IT wanapewa posho ili wahujum mfumo uonekane umejaa??
 
Huenda wanawahonga wadhibiti mfumo
 
Tatizo linaanzia kwa sa1oo.sa100 uwezo wake ni mdogo sana ndiyo maana anateua wasaidizi wake wenye akili ndogo kama zake
 
Kuna matukio ya kusikitisha juu ya ujenzi wa Reli mpya mfano kusuasua kwa ujenzi, wizi wa vifaa na yote tisa kuonesha kuwa mfumo wa ticket umejaa ilihali treni husafiri bila abiria.

Kwanini wahusika wakuu wapo ofisini? Nani anawalinda pamoja na hujuma zote hizi?
Haha haha haha ccm oyeee
 
Bila shaka wahusika wanateuliwa kwa ajili ya hizo kazi!
Kifupi wanatimiza majukumu yao
 
Naskia ni dili la Abduli na Samia wamekodisha watu kufanya hayo maujinga kukomoa watanganyika
 
Back
Top Bottom