KERO Responded TRC sehemu ya kununua tiketi za SGR online haifanyi kazi, shughulikieni

KERO Responded TRC sehemu ya kununua tiketi za SGR online haifanyi kazi, shughulikieni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa huko kuwa sight yao kwenye kipengele hiko ipo down?

Ujumbe uwafikie waheshimiwa TRC, fanyeni mambo tukaone kama ni kweli ngedere na bundi husababisha umeme kukatika :BearLaugh: :BearLaugh:

Tanzania Railways Corp

Pia soma TRC waomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao usiku wa kuamkia Machi 19, 2025
 
Huu ni Uhujumu uchumi wa wazi kabisa. In most cases unaweza kuingia kwenye system ukate ticket an unakuta nafasi ipo moja au mbili tu. Siku ya safari unakuta almost 35% ya behewa halina watu

Hata kama kuna watu ambao huwa wanaachwa au wanaahirisha safari at last minute, namba ya empty seats huwa ni kubwa mno kuliko reality
 
Hili tatizo bado lipo? Maana walisema wamelishughulikia
 
Leo pia tiketi hazitoki. Ukishamaliza kuchagua behewa na siti ili upate control number kwa ajili ya kulipia, inakwamia hapohapo haiendi tena hata ukisubiri masaa hakuna kitu!!
 
Back
Top Bottom