Watu tofauti wamelalamikia video za mapokezi ya timu ya taifa ya Senegal walipofika kwenye kiwanja cha ndege nchini Marekani, inasemekana walipekuliwa na kuhojiwa kupita kiasi, nahodha wa timu yao alihojiwa kwa saa 3 kabla timu kuruhusiwa kuingia nchini humo.
Ikiwa zimesalia Siku 2 kabla ya...