Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea utakaochezwa Februari 20, 2025 uwanja wa Azam Complex, Chamazi. @twigastarstz
Crescentius Magori, ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, ametoa ufafanuzi muhimu kuhusu mchakato wa kubadilisha uraia ili wachezaji waweze kucheza katika Timu ya Taifa ya Tanzania.
Kupitia ujumbe, Magori amesisitiza kuwa wachezaji wenye uraia wa nchi mbili wanapaswa kukidhi...
Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu...
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika.
Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu.
Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC.
Utovu wao wa...
Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje?
Pumzi za...
Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka.
Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu hata Samata na Msuva hawajafanya alichofanya Mzize leo.
Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje
Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa
Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?
Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Aisee inasikitisha Sana
Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho
Samata kwasasa hana...
Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne.
Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa yupo kwenye listi ya makocha wanaowaniwa na Chama cha Soka cha England (FA) kuinoa timu ya Taifa hilo.
Uamuzi huo unaweza kuchukuliwa kwa kuwa kocha wa muda, Lee Carsley amejulishwa hatapewa ajira ya uhakika kuendelea...
Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa.
Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg )
Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi
Ule msemo wa you punch me once i punch u triple...
Kenya match zote za timu za taifa honeshwa bure, Uganda match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure.
Rwanda , Burundi na nk match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure Tanzania hakuna kitu ni utapeli wa kizalendo
Soma Pia: DR Congo VS Tanzania |...
kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo
1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima
2. LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓
3. MOHAMED HUSEIN -
4. IBRAHIM BACCA -japo h uyu jamaa simkubali I bet Leo...
Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira kuficha ualifu wao na ushetani wao, sasa nasema taifa 🌟 ipigwe vzr magoli ya kutosha hadi tuwe na kauli...
Salaam wakuu....
Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha
Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi
So Kwa huu...
Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale.
In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.