Last year tumechezaAFCON na kikosi hiki hiki .
Watanzania acheni siasa kocha asepe tutafute kocha mpya, kocha hana uwezo shida yetu ni kuprogress AFCON sio kuingia AFCON acheni siasa
I will be short
Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium |...
Watanzania wengi wamekariri
Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani
Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team.
Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila
Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani...
Hakika lililofanywa na makocha wetu wa Taifa Stars Moroko, Mgunda na Julio ni kutupotezea muda na kutoheshimu hisia zetu.
Kwahiyo Mgunda na Julio ndo wamemshauri Moroko kuwa Novatus na Mao wanaweza kucheza namba 6 na 8 na tukaweza kuwa na kiungo kinachonyambuka, kwamba Kibabage anaweza kucheza...
Habari ndugu zangu,
Kundi letu lipo wazi mno.. ( Tanzania, DRC, Guinea na Ethiopia)
Ngoja niwakumbushe jambo, kuelekea Afcon ya 2019, Tulianza na kocha mzawa Salum Mayanga.
Tukadroo 1-1 mchezo muhimu wa kwanza na Lesotho tukiwa nyumbani. Tukafukuza kocha...tukamleta kocha mpya mnigeria...
Kama mnatoa ruzuku kule Baraza la Michezo la Taifa BMT na wizara ya michezo inapata pesa za kuendesha timu za taifa iweje watanzania walipie kuona matches za timu yao ya taifa .
Kama mnalipia hadi bao la goli za vilabu inakuwaje matches za timu ya taifa hakuna na tulipie kuona na kutaka kuona...
Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez (37) ametangaza rasmi kustaafu soka la Kimataifa
WASIFU WA LUIS SUAREZ KATIKA TIMU YA TAIFA URUGUAY
Jina Kamili: Luis Alberto Suárez Díaz
Tarehe ya Kuzaliwa: Januari 24, 1987
Uraia: Uruguay
Nafasi: Mshambuliaji 'Striker'
Umri: 37
Mwaka alioanza...
Timu ziko nyingi kwanini iwe wasemaji wa Azam, Simba na Yanga tu wahamasishe timu ya taifa? Kama ni kwaajili ya kuwa na mashabiki wengi lakini kuna ushahidi gani kuwa Azam ina mashabiki wengi kuliko KMC na Coastal Union?
Pili, kuna wasemaji ambao huwa wanajigamba hadharani kuwa timu zao zimetoa...
Taifa stars ifundishwe na walimu wenye ubora na uzoefu mkubwa kuliko wachezaji wanakotoka kwenye timu zao. Hii itachechemua fikra za wachezaji kuhusu timu yao ya Taifa. Mwanafunzi wa chuo kikuu kufundishwa na mwalimu wa secondari haiamshi hamasa ya mwanafunzi kutaka kujifunza. Timu yetu ya Taifa...
Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known.
Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA muda.
Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso
Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa.
Najiuliza
Je nin kimetokea?
I will be short.
when did Fei toto ever help taifa stars in anything??
Kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa.
Morocco anaona nini kwa Fei toto?
Mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni...
"Inaonekana kuna aina Fulani ya chuki kutokana na mafanikio ya mwanangu Mbwana, bado Mbwana ana nafasi kubwa sana katika timu ya taifa, Samatta na Msuva ni wachezaji muhimu sana kwenye taifa letu, kwa asilimia kubwa wao ndio wamesababisha tufuzu kucheza AFCON zote mbili
"Kwenye kombe la dunia...
Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025).
Ally Salim(Simba SC) GK
Aboutwalb Mshery (Yanga) GK
Yona Amos (Pamba SC) GK
Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
Nathaniel Chilambo...
Aliyekuwa meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven-Göran Eriksson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Eriksson alitangaza kuwa ana ugonjwa wa saratani usiotibika mnamo Januari mwaka huu. Mswidi huyu alikuwa kocha wa kwanza wa kigeni kuinoa timu ya taifa ya England. Aliongoza...
Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu.
TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya Olimpiki Paris 2024, imewasili jijini Dar es Salaam leo Agosti 6 ikitokea kambini jijini Arusha...
BAADA ukimya wa muda mrefu , Timu ya Taifa ya Riadha ipo kambini Sakina , Arusha tayari kuanza kuendela na maandalizi ya mashindano makubwa ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai 26 hadi Agosti 11 huko Paris Ufaransa.
Tanzania itawakilishwa na wanariadha wanne ambao wanakimbia mbio ndefu...
Gareth Southgate ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama meneja wa timu ya taifa ya England baada ya kuwa madarakani kwa karibu miaka minane.
Southgate, ambaye alianza kazi yake mwaka 2016, ameiongoza England hadi fainali ya Euro 2024 na nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2018.
Shirikisho la...
Nashukuru Mungu timu yetu imeshinda leo.
Ombi langu ni kuwa wanasiasa wasijaribu kutia pua yao kwenye timu yetu.
Huwa mnatugawa sana na sipendi hichi kitu. Naomba mambo yabaki kama yalivyokuwa leo. Tuwaamini wachezaji na makocha tafadhali.
DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada.
MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.