timu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu?

    Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu...
  2. BEDUI Jr

    Kwenye timu ya taifa bado tunasafari ndefu

    Kama kiongozi wa ngapi ya juuu tena katika tumu zetu mbili pendwa ana post huu ujinga basi tuna safari ndefu katika timu yetu ya taifa,
  3. Roving Journalist

    TANZIA Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman Kibode (Meya), amefariki Dunia

    Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya), amefariki usiku wa kumkia leo jtatu, katika Hospitali ya Muhimbili. Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala na juzi usiku alihamishiwa Muhimbili. Idd ni mdogo wa nyota wa zamani, Madaraka Seleman (Mzee wa...
  4. Gordian Anduru

    Timu ya Taifa Ghana, mchezaji Okrah kacheza mechi gani?

    Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa. Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona. Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up. Je, ni wale wachezaji wanaoitwa timu ya taifa inapocheza CHAN? Au Je ni wale ambao kambi inapoanza wanaitwa 40 kisha kwenye...
  5. Lady Whistledown

    Nahodha wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Zambia atolewa kwenye michuano ya WAFCON

    Barbra Banda ameondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) baada ya kufeli vipimo vya “kustahiki jinsia” kutokana na kiwango chake cha homoni za testosteroni kuwa juu kupita kiasi Wachezaji wa kike wanapaswa kuwa na kiwango kidogo cha homoni ya testosteroni...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki hafla ya kuipongeza Timu ya Serengeti Girls, apendekeza uwanja wa michezo kujengwa Tanganyika Packers

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN - Serengeti Girls ni Mashujaa Wetu Leo ni siku nyingine ya furaha sana, si kwangu binafsi bali kwa taifa zima, tunapokutana hapa Ikulu na mabinti zetu mashujaa - Serengeti Girls. Hii ni rekodi mpya ambayo haijapata kutokea kwa miaka 62 ya Uhuru wetu. Serengeti Girls...
  7. Sol de Mayo

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Algeria afariki dunia

    HABARI ZA KUSIKITISHA. Kiungo mshambuliaji wa USM Alger na timu ya taifa ya Algeria 🇩🇿 B Billel Benhamouda (24) amefariki dunia kufuatia ajali ya gari. Benhamouda alicheza na kufunga katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo 🇨🇩 إنا لله وإنا إليه راجعون Allah amjaalie qauli...
  8. Championship

    Naiona timu ya Taifa ya Ukraine inacheza mechi hapa, imekuwaje? Urusi si walisema wameigeuza Ukraine magofu?

    Naona wanacheza na Wales mechi kali kabisa. Taarifa kwamba ndani ya siku tatu wanaiteka zimefikia wapi? Na zile kwamba nchi imekuwa magofu nazo niaje?
  9. Lyrics Master

    Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake

    Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake. 1. BENNO KAKOLANYA- simba sc 2. DAVID KAMETA DUCHU- geita gold 3. BENJAMIN ASUKILE- tanzania prisons 4. LUSAJO MWAIKENDA- azam fc 5. DAVID MWANTIKA- dtb fc 6. AZIZ ANDAMBILE - mbeya city fc 7. JIMMSON MWANUKE-...
  10. John Haramba

    Morrison akasirika, alalamikia timu ya taifa “Mnaita wachezaji wa Azam FC wakati timu yao inafungwa na Simba”

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana. Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
  11. GENTAMYCINE

    Chama wa Simba SC ameitwa Timu ya Taifa ya Zambia; Je, akina Mayele na Bangala nao wameitwa Timu ya Taifa ya Congo DR?

    Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza Kuitwa labda kidogo atakayebahatika Kuitwa ni Beki wa Simba SC, Henock Inonga Baka kwakuwa ana Akili...
  12. mpiga vichwa

    Yanga kucheza na timu ya taifa ya Somalia

    Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita, kesho tarehe 12/3/2022 timu ya Yanga itashuka uwanja wa Azam complex huko chamazi kucheza na timu ngumu kabisa ya taifa ya...
  13. Roving Journalist

    Timu ya Taifa ya Pooltable yaifunga Kenya 13 – 9, mashindano Afrika Nchini Zambia

    TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia. Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
  14. Melubo Letema

    Kambi ya Timu ya Taifa ya Riadha kuanza Mapema

    Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu. Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) wakishirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) wameanza kusaka maeneo ya kuwaweka Wanariadha wa...
  15. Kitimoto

    Aliyekuwa kocha wetu akiwa anaifundisha timu ya Taifa ya Mauritania

    Mafanikio ya aliyekuwa kocha wetu wa Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara timu ya Simba SC akiwa anaifundisha timu ya Taifa ya Mauritania kwenye mashindano ya Afcon 2021. Timu imecheza mechi 3, Imefungwa mechi zote 3, Imefungwa magoli 7, haijafunga goli hata 1 na imeshika mkia kwenye...
  16. Erythrocyte

    Aliyekataliwa kusimamia timu Ligi ya Mabingwa kwa kukosa vyeti, leo anasimamia Timu ya Taifa kwenye AFCON

    Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano...
  17. SubTopic

    Maoni: Tuwape Wachambuzi wa soka wafundishe timu ya taifa

    Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha...
  18. Greatest Of All Time

    Timu ya Taifa ya DR Congo yafanya sub mara nne jana kinyume na utaratibu

    Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa. Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa la kuchukuliwa hatua, endapo itathibitika kuwa walifanya kosa hilo, Benin anaweza akafuzu kwa point...
  19. M

    Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

    Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
  20. kipara kipya

    Timu ya taifa haina chama, tumuige Zitto Kabwe

    Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
Back
Top Bottom