CHAKI (JAFFAR KASMALI) MCHEZAJI WA COSMOPOLITAN NA TIMU YA TAIFA AMEFARIKI LEO NEW YORK
Chaki alikuwa golikipa hodari wa Cosmo katika miaka ya 1960 wakati huo wachezaji wenzake ninaowakumbuka walikuwa Msuba, Mansur Magram, Mustafa Mabuge, Emil Kondo, Kitwana Popat (Kitwana Manara) ni miaka...
Chama cha soka nchini Tanzania kimeachia majina rasmi ya wachezaji wa Tanzania ambao watashiriki kwenye mechi za kuwania ushiriki wa mashindano ya AFCON 2023 dhidi ya Niger.
Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5!
Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha.
Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine.
Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu!
Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi
Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu.
Tubeze lakini tuwe na...
Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars).
Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita kwenye timu ya Taifa mchezaji ambaye ameshindwa kutimiza matakwa ya mkataba kwenye Klabu yake...
Yani baada ya Yanga kushindwa kabisa kukutana na Feitoto Licha ya TFF kuwaita kwenye kesi pamoja ili iwakutanishe.
Sasa mbinu ya mwisho waliyoitumia ni kumwita Feitoto timu ya Taifa. Huko pia wanampango kumwita Kocha wa Yanga Nabi akae kwenye benchi la ufundi ili wapate wasaa wa kumshawishi...
Ulishawahi kusikia bahati ya mtende au ngekewa? Au mtu baada ya kuharibu anapewa second chance! Ndio kilichowakuta Denmark mwaka 1992 katika michuano ya Mataifa ya Ulaya.
Michuano ya Uefa Euro mwaka 1992 ilipangwa kufanyika katika majira ya joto huko nchini Sweden. Ilikuwa ni michuano ambayo...
Andre Onana (26) aliondolewa kambini wakati timu yake ikishiriki katika Kombe la Dunia 2022 baada ya kutofautiana na kocha wake, Rigobert Song.
Kipa huyo wa Inter Milan alianza kutofautiana na Song katika mazoezi kuhusu mbinu za uchezaji, wakarushiana maneno na baadaye kutopangwa katika mchezo...
Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023.
Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026. Ufaransa wanavyo vipaji vya kila aina ikiwemo kijana machachari Mbappe. Muda utatupatia majibu.
Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia.
Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...
Siku chache baaa ya kuiambia BBC kuwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakuwa ya mwisho kwake, Nyota Lionel Messi amebadili uamuzi huo na kueleza kuwa ataendelea kucheza kama Mchezaji wa Mabingwa wa Dunia.
Messi mwenye miaka 35 ameshinda Mpira wa Dhahabu na kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la Dunia...
Kiungo huyo mshambuliaji mwenye umri wa miaka 31 amechukua maamuzi hayo baada ya timu timu yake ya taifa kuishia Hatua ya Makundi katika Kombe la Dunia 2022.
Hazard ameitumikia Ubelgiji kwa miaka 14 na kwa sasa anaelekeza nguvu katika ngazi ya klabu yake ya Real Madrid.
Imeelezwa kuwa...
Nani kakuambia waarabu hawapendi sana mpira? Mfalme wa Saudi Arabia (King Salman) ameitangaza kesho tarehe 23/11/20-11 kuwa siku ya mapumziko ili watu wapate nafasi ya kufurahia na kusherehekea ushindi wa kuifuinga Argentina yenye Messi kwenye mechi ya Kombe la Dunia!
Sipati picha kama...
Kocha huyo wa Super Eagles, Jose Peseiro aliyeajiriwa Mei 2022 anadai jumla ya Dola 420,000 (Tsh. Milioni 979 kwa kuwa kwa mwezi anatakiwa kulipwa Dola 70,000 (Tsh. Milioni 163).
Chini ya Sheria za sasa za FIFA, Peseiro ambaye ni kocha wa zamani wa Saudi Arabia na Venezuela anaweza kusitisha...
Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar.
Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo vya ngono na benchi la ufundi.
Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Adrian Kashala amesema wameandika...
Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan.
.... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi...
Pongezi nyingi kwa Klabu ya Simba kuweza kutoa Mchezaji wake ( Beki tegemeo ) Henock Inonga Baka na Mchezaji husika kwa kuweza Kuitwa hivi majuzi tu katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo DR.
Kuna Timu Moja nchini Tanzania ( kwa sasa nimeisahau ) imejaza Wakongo wengi kama Wanamuziki wa Zaiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.