timu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026

    Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea utakaochezwa Februari 20, 2025 uwanja wa Azam Complex, Chamazi. @twigastarstz
  2. Crescentius Magori afafanua masharti magumu ya FIFA kwa wachezaji waliobadili Uraia ili waweze kucheza Timu ya Taifa

    Crescentius Magori, ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, ametoa ufafanuzi muhimu kuhusu mchakato wa kubadilisha uraia ili wachezaji waweze kucheza katika Timu ya Taifa ya Tanzania. Kupitia ujumbe, Magori amesisitiza kuwa wachezaji wenye uraia wa nchi mbili wanapaswa kukidhi...
  3. K

    Mnaosimamia timu ya Taifa mnatuonea

    Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu...
  4. Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  5. Kocha Timu ya Taifa, Hemed Morocco awafukuza Mkoko, Lanso kambini kwa utovu wa nidhamu

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu. Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC. Utovu wao wa...
  6. Timu ya Taifa ya Ivory Coast timu bora ya Taifa ya wanaume

    Timu ya Taifa ya Ivory Coast ambao ni mabingwa watetezi wa AFCON , wametajwa kuwa timu bora ya Taifa kwa upande wa wanaume
  7. M

    Kazi waliyopiga wachezaji wa Yanga kwenye mechi 2 timu ya taifa napenda nijue walichomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa timu ya taifa?

    Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje? Pumzi za...
  8. AFCON inayokuja Mzize asiitwe timu ya Taifa kwa utovu wa nidhamu

    Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka. Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu hata Samata na Msuva hawajafanya alichofanya Mzize leo.
  9. Imani za kishirikina kwenye timu ya Taifa

    Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ? Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024 Aisee inasikitisha Sana
  10. Sioni kama kuna haja ya kuendelea kutumia wachezaji wazee kwenye Timu ya Taifa

    Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho Samata kwasasa hana...
  11. Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  12. Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  13. FA yamuwania Guardiola kuinoa Timu ya Taifa ya England

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa yupo kwenye listi ya makocha wanaowaniwa na Chama cha Soka cha England (FA) kuinoa timu ya Taifa hilo. Uamuzi huo unaweza kuchukuliwa kwa kuwa kocha wa muda, Lee Carsley amejulishwa hatapewa ajira ya uhakika kuendelea...
  14. Wachezaji wa Tanzania wajenge utamaduni wa kustaafu kwa hiari kuchezea Timu ya Taifa

    Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
  15. Timu ya Taifa ya Nigeria imepewa funzo kutoka Libya

    Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg ) Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi Ule msemo wa you punch me once i punch u triple...
  16. Rais Samia unaona sahihi mechi za soka za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za kulipia, uzalendo uko wapi?

    Kenya match zote za timu za taifa honeshwa bure, Uganda match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure. Rwanda , Burundi na nk match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure Tanzania hakuna kitu ni utapeli wa kizalendo Soma Pia: DR Congo VS Tanzania |...
  17. Kikosi kikipangwa hivi Taifa Stars anashinda leo dhidi ya DR Congo

    kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo 1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima 2. LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓ 3. MOHAMED HUSEIN - 4. IBRAHIM BACCA -japo h uyu jamaa simkubali I bet Leo...
  18. Naiombea Timu ya Taifa ifungwe na Guinea na tuendelee kufungwa mechi za Simba na Yanga mpaka tuwe na kauli moja na kuwajibika

    Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira kuficha ualifu wao na ushetani wao, sasa nasema taifa 🌟 ipigwe vzr magoli ya kutosha hadi tuwe na kauli...
  19. Taifa stars inaweza beba Hadi world cup kama ipo chini ya benchi la ufundi la Yanga SC

    Salaam wakuu.... Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi So Kwa huu...
  20. D

    Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

    Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale. In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…