Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast.
Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini...
Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na yenye Heshima kama ya AFCON kuanzia hatua za Nusu Fainali.
Hongereni sana Simba Sports Club na hakika...
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu (inferior) sokoni. Inafahamika kuwa Nike, Puma, adidas, umbro, nk ni kampuni bora kwa vifaa na jezi. Sisi...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire).
Tanzania tangia tumeenza mchakato wa kupata Vazi la Taifa lililoratibiwa na serikali ya wendawazimu (ccm) hadi leo...
Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama Sure Boy ambaye anaweza kuleta umoja kwa Timu ya Taifa ya Tanzania AFCON.
Tunaiomba TFF imwite Sure Boy na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni Sure Boy na Aucho tu. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo
Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia
Hapo ndio tofauti inapoanzia
Azam...
Habari za Jumapili wanajukwaa.
Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua Soka La Bongo Limekua.
Tusilete porojo eti Wydad wabovu au Al Ahly kutoa Sare na Yanga basi Ahly...
Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu .
Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
Wakuu,
Nimekutana na video ikionesha Timu ya Taifa inainga uwanjani kwaajili ya mchezo wake na Morocco, wakitumia basi ya Super Feo. Namnukuu Msigwa kama alivyoandika kwenye ukurasa wake Instagram; " Taifa Stars imeingia kibabe sana leo Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kitu cha Marcopolo, sio mchezo!"...
Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920.
Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
Yani tangia 2011/12 bayern ndio wanabeba tu kombe hadi leo huku hawa dortmund kazi yao ni kuuza vipaji kwa gharama mno bila ya kuinvest vizuri katika team yao.
Kwa hio wao sasa wamekuwa soko la kutengeneza wachezaji kuhusu ubingwa na historia hilo kwao hawalijui tena.
Walipaswa kuwa european...
Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi
Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini?
Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland.
Home kit
Away Kit
Third Kit
Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje...
Eeh bana eeeh Robetihno alikuwa mtu na nusu amecheza sana uwanja mkubwa Duniani wa Maracana. Mwamba akivaa jezi no 7 alikiwasha sana.
Huyu mwamba ndiomana hanaga pressure na haogopi kucheza na timu yoyote.
Simba SC imepata bonge la Mwamba katika soka.
Wanaobisha YouTube ipo inakutoa...
Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.