timu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simba mwacheni Robetino asuke timu ya kujivunia

    . ukichukua kikosi chote cha power dynamoo kiwe chini ya robetino basi hiyo timu itakuwa Gian in africa kupita mamelod Sun down au esparence.Ni tabia ya kittoto sana wanayoonesha wapenzi wa simba eti Robetino hafai.. Mkithubutu kumuachisha kazi Robetino basi mtegemee hata Namungo na geita gold...
  2. Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

    Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana. Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
  3. M

    Saidi Ntibazonkiza (Saido) ndiye mchezaji wa Timu ya Taifa Afcon MZEE KULIKO WOTE

    Mimi nilijua ni rika moja na Feisal Salum . Au basi!!
  4. Shilingi Bilioni 3 Kudhamini Jezi za Timu ya Taifa

    SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...
  5. M

    Kwanini Kakolanya ni mzuri timu ya Taifa lakini sio kwenye klabu?

    Kumekuwa na tuhuma kwa wachezaji wetu wengi kuhusishwa na kupanga matokeo(rushwa) wanapokuwa kwenye timu zao. Na mmojawao ni Kipa Kakolanya. Kuna muda mwingine ukimuangalia unaona jinsi alivyo makini anapokuwa langoni na kuna muda mwingine anaonekana mpambanaji hasa halafu anakaa position fulani...
  6. Hata tukifuzu kwa mazingaombwe hatuna timu ya kupeleka AFCON 2023

    AFCON inatarajiwa kuanza huko Ivory Coast chini ya miezi 4 kutoka sasa. Unaenda kutafuta mechi ya ushindi lakini mategemeo yako ni kina Boko ambao hawajacheza mechi ya ushindani kitambo sana maana tayari wameonekana ni liability katika timu pamoja na kwamba kuna viongozi pale Simba wanamkingia...
  7. FUFA yawakana Yanga SC na Uwongo wao kuwa Beki Gift Fred kaitwa Timu ya Taifa ya The Cranes

    "Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA) Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu. Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu...
  8. TANZIA Chaki (Jaffar Kasmali) mchezaji wa Cosmopolitan na timu ya taifa amefariki leo New York

    CHAKI (JAFFAR KASMALI) MCHEZAJI WA COSMOPOLITAN NA TIMU YA TAIFA AMEFARIKI LEO NEW YORK Chaki alikuwa golikipa hodari wa Cosmo katika miaka ya 1960 wakati huo wachezaji wenzake ninaowakumbuka walikuwa Msuba, Mansur Magram, Mustafa Mabuge, Emil Kondo, Kitwana Popat (Kitwana Manara) ni miaka...
  9. Ni vyema Vilabu vitakavyocheza na Timu ya Jeshi ya Mashujaa FC wakaielewa vyema hi Kauli Mbiu yao tukuka

    Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea cha Kuwatokea tusije Kulaumiana. Na kuna Wachezaji kama Watatu humo ni wale Wazee wa Morogoro sasa...
  10. Yanga ni timu ya kawaida sana Ila inakuzwa bila ya sababu

    Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga. Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda...
  11. M

    Hivi Ukubwa wa timu ya Azam ni rasilimali au

    Nijijibu mwenyewe kuwa ukubwa wa timu ya Azam UPO KWENYE RASILIMALI HASA KIWANJA, TV NA VIWANDA NA WALA SIO UWANJANI. Uwanjani Timu ya Azam ni sawa tu na Coastal Union, Moro Utd, Mtibwa , Ruvu shooting nk
  12. Timu ya Wanawake Nigeria yashindwa kuingia robo fainali Kombe la Dunia

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2. Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
  13. Rais aache upendeleo! Simba mpaka imualike wakati yeye ndie anaialika Yanga Ikulu na kuipendekeza iwe timu ya kumsindikiza nje ya nchi

    Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ? Rais aliibembeleza Yanga ikubali mualiko kwenda Ikulu maana wakati huo Yanga ilikuwa na ratiba ngumu ya kwenda kumaliza mechi za...
  14. Yanga jiandaeni na parade jingine msimu wa 2023/2024 hakuna timu ya kuwazuia

    Ni suala la muda tu pumba na mchele vitajitenga, nimeona timu zote Azam, simba na Yanga na nimejiridhisha ya kuwa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio Wananchi waendelee kutamba mjini bado wanayo timu bora ambayo inakwenda kutwaa tena ndoo kwa mara nyingine! Kutoa mapovu ni ruksa but...
  15. Power Dynamo rekebisheni kiungo chenu na safu yenu ya ushambuliaji vinginevyo amjapata timu ya kucheza ligi ya mabingwa

    Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
  16. Morroco has advanced to round of 16, cha kustaajabisha, imetangazwa kuwa ni timu ya kwanza ya [Arab Nation] kufanya hivyo.

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao. Wakati ikitangazwa hivyo, wanahabari walidai Morroco ni Nchi ya Kwanza kutoka [Arab Nation] kufanya hivyo. Kwa kuzingatia...
  17. Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje? --- Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari. Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
  18. Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

    Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30. Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja. Takwimu za timu hiyo: Mechi 30 Ushindi 00 Sare 04 Kupoteza 26 Pointi 04
  19. Wafanyabiashara Kariakoo na TRA Sasa mambo safi, waandaa bonanza la michezo kati ya timu ya TRA na wafanyabiashara

    Kumekucha, wale wengine mliokuwa na nongwa, mshike jembe mkalime. TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo sasa ni damu damu, wameandaa bonanza la michezo kati ya timu ya wafanyabiashara na TRA. Hakika Rais Samia ameziba ufa uliokuwapo na imani kati yao imekuwa kubwa. Viva Tanzania!
  20. Timu ya Azam inakwama wapi?

    Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake, Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu. Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa na kimataifa, Kitu gani kinaikwamisha Azam?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…