timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siyo kila timu inaweza kwenda unbeaten mechi 44

    Nafikiri sasa tutaongea lugha moja ya kwamba yanga kucheza michezo 44 bila kufungwa sio jambo jepesi kama wanavyodhani wale mbumbumbu, unatakiwa uwe na kikosi cha maana na kipana kufikia iyo rekodi. Tumeona leo wazee wa pira litembee walivyoangukia pua mbele ya azam, baada ya kulegezwa na derby...
  2. JamiiForums Tanzania HESLB yakwepa kuhojiwa kuhusu upendeleo wa mikopo

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameionya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akidai inaingilia kazi ya timu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi. Timu hiyo iliundwa Julai 31 mwaka huu, baada ya kuwapo malalamiko mbalimbali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kunani pale? Form ya timu yetu imeshuka sana

    Nashindwa kuelewa Yanga kunani? Form ya timu yetu imeshuka sana. Huku wenzetu wakizidi kupata kasi. Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa. Aziz Ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani...
  4. JamiiForums Tanzania Mmoja wa wachezaji hawa wa Yanga SC ndiyo atavaa hirizi ya timu leo

    1. Farid Musa 2. Bakari Mwamnyeto 3. Feisal Salum Fei Toto Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe. Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
  5. JamiiForums Tanzania Kuelekea Kariakoo Derby: Simba SC ndiyo timu yenye kiwango bora hadi hivi sasa

    Takwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa; ~ Wamefunga magoli 11 ~ Wameruhusu magoli 2 Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4; ~ Wanefunga magoli 8 ~ Wameruhusu goli 1 Wametinga hatua ya makundi CAF Champions League, vinara Ligi Kuu Tanzania bara.
  6. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars mpeni timu Kocha Zahera

    Mmesajili wachezaji wazuri sana pengine kwa gharama kubwa, lakini ni ukweli mtupu kuwa Kocha Van ameshazeeka na uwezo wake hauwezi kuvuka pale. Ushauri wa bure kabisa, hebu mpeni Mwinyi Zahera timu yenu ili mpate tabasamu la thamani ya pesa. Mtachelewa sana kama mtadhani marefa wanawaonea.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mshabiki wa Simba ni timu gani ungependa Simba ikutane nazo katika makundi ya klabu bingwa Afrika?

    Binafsi napenda tupangiwe kundi moja na Wydad Ac Al hilal Coton sport de Garoua Je wewe ungependa tukutane na timu gani?
  8. JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

    Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho. Chanzo: EFM Sports Headquarters Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
  9. JamiiForums Tanzania Japo Yanga siwapendi kuliko timu zote duniani lakini ninapenda Tanzania na sisi tuingize timu mbili makundi CAFCL

    Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa. Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Timu mafanikio yake ya Kipekee CAFCL yatakuwa ni Kufurahia Mechi yao Kuonyesha 'Live' nchini Sudan

    Kama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo mtawafunga? Wenzenu Wasudan (Waarabu) nje ya mpira pia wana jicho kali la kibiashara hivyo waliona...
  11. D

    JamiiForums Tanzania CR7 afikisha mabao 700 ya timu za klabu

    Sporting Lisbon - Mabao 5 Real Madrid - Mabao 450 Juventus - Mabao 101 Man United - Mabao 144 🐐Goat🙌
  12. JamiiForums Tanzania Yanga ina bahati ya kukutana na timu ngumu ngumu

    Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo? Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
  13. JamiiForums Tanzania Mabeki wa Yanga kuiokoa timu leo dhidi ya Al Hilal

    Wengi tunatarajia magoli toka kwa akina Mayele n.k, leo mabeki wa Yanga wanaenda kuokoa timu yao. Yanga itashinda magoli 2, tutarajie penalty kwenye mchezo. Ft 2-0/2-1/3-1 Kila la kheri Yanga.
  14. JamiiForums Tanzania Huenda hii timu leo ikajaza mashabiki 350 tu badala ya 60,000!

    Mpaka muda huu nawaona walinzi tu peke yao magetini, huku uwanjani kukiwa na watu wawili tu. Hivyo huenda wanasubiriwa hao 348 waliobakia ili mbungi lianze hiyo saa 10 kamili jioni. Kuna timu moja nchini Tanzania (nimeisahau jina) yenyewe ingekuwa inacheza leo, basi mpaka saa 4 hii uwanja...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  16. JamiiForums Tanzania Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

    Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini. Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu. Naongea kiufundi sio kiushabiki Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
  17. JamiiForums Tanzania Klabu ya Polisi waingia mkataba wa milioni 50 na kanisa kuiombea timu

    Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya kupatiwa maji ya kunywa, fedha na maombi timu inapocheza popote kuhakikisha kwamba wanafanya vizuri zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Pesa pekee haileti mafanikio ya timu, mbinu za kocha pia zinahitajika

    Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni. Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
  19. JamiiForums Tanzania Al Hilal wapigika kama ngoma na timu B ya Tp Mazembe

    Jana Al hilal wamepigwa 3 : 0 na timu ya watoto wa academy ya Tp Mazembe. Ikumbukwe tu hawa Al Hilal ndiyo waliwapiga makolo kimoja cha nguruwe.
  20. JamiiForums Tanzania Uwanja wa mazoezi wa timu yenye uwekezaji mkubwa kuzidi Al Hilal

    Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu. Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu My Take Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…