Katika ulimwengu wa muziki wa Injili ndani ya Afrika ya Mashariki, jina la Phyllis Mutisya limekuwa likihusishwa na sauti tamu ya kumwinua mtu kiroho pale madhabauni. Mwanamama ambaye amekuwa akitoa huduma yake takatifu ya uimbaji na kumsifu Mungu.
Lakini hivi karibuni katika siku hizi tatu...