Ndoa ya Tiras Muange na Phyllis Mutisya kimeumana, Usaliti madhabauni

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Katika ulimwengu wa muziki wa Injili ndani ya Afrika ya Mashariki, jina la Phyllis Mutisya limekuwa likihusishwa na sauti tamu ya kumwinua mtu kiroho pale madhabauni. Mwanamama ambaye amekuwa akitoa huduma yake takatifu ya uimbaji na kumsifu Mungu.
1757856327890.jpg

Lakini hivi karibuni katika siku hizi tatu, upepo mbaya umevunja utulivu wa ndoa yake na mumewe Bwana Tiras Muange. Mzee Tiras amewapatia goli la mkono umoja wa Chama cha KATAA NDOA kwani amejitokeza hadharani akimtaja mkewe kama mchepukaji sugu, akidai kuwa ana orodha ya wanaume zaidi ya ishirini ambao mwanamama Phyllis amehusishwa nao kimapenzi ndani ya miaka 12 ya ndoa yao.
1757856314299.jpg

Majina yamechapishwa hadharani – kuanzia Masila, Kyalo, Nzau, King Muli, hadi kwa maafisa wa kijeshi kama Cpt. Dan.
1757856280258.jpg

Taarifa hii imewavunja moyo wengi, hususan mashabiki wa muziki wa Injili ambao walimwona Phyllis kama kielelezo cha imani na utiifu pamoja na ucha Mungu.
1757856283302.jpg

Ndoa ni ngumu, na kashfa hii inatoa funzo kuwa pete haimaanishi uaminifu wa mioyo. Ni hadithi inayowasha mjadala kuhusu unafiki, tamaa na udhaifu wa kibinadamu hata kwa wale tunaowahusudu kama “watakatifu”.
1757856285074.jpg

Mzee baba Tiras ameonesha kuwa ataendelea kuweka hadharani orodha kamili ya wanaume ambao wametoka kimapenzi na aliyekuwa mke wake. Ikiwa ni pamoja na majina ya wanawake ambao ndoa zao zimevunjika kutokana na waume wao kuonja penzi la Phyllis Mutisya. Huko mitandaoni mambo imechemka hatari.
1757856286922.jpg

NDOA BHANA! WATU WANALIWA BALAA NA WAPO NA PETE NA WAMEWEKA NADHIRI MBELE YA SIR GOD.
1757856338653.jpg

MECHI INAENDELEA MPAKA SASA #KATAANDOA WAPO KIFUA MBELE.
 
If there is any one thing that can kill an ambitious, Imaginary, determined and a visionary man faster than any Poison, Diseases or physical attack, then it is indeed a jail called Marriage!

No great accomplishment has ever been done by a married man....any, you name it...

Whatever you want to do or say about this information is up to you .
 
If there is one thing that can kill an ambitious, visionary man faster than any Poison, Diseases or physical attack, then it is indeed a jail called Marriage!
No great accomplishment has ever been done by a married man....any, you name it...

Whatever you want to do or say about this information is up to you .
No great accomplishment has ever been done by a married man....any, you name it
Mkuu mbona kama umetumaliza kabsa hapo 😔 😟 🙁
 
huu ni umbea.

Jali maisha yako kijana.

Unafahamu mke wako anchokifanya ukiwa haupo?
mjuba kama hujawahi kuonja shubiri ya kuchapiwa halafu ukapata ushahidi kaa kimya tu. Ndoa tamu ila usaliti unapoingia inakuwa chungu, labda ujizime data uzuge hujui anachokifanya mke wako ndio unaweza kuishi nae muda mrefu hadi ukomo wa maisha
 
Acheni watu wajadili ndoa za watu kusambaratika, siku hizi kuwekuwepo na mporomoko wa maadili ya ndoa kwa kiwango cha kutisha. Hawa ma Gen Z ndio kabisa hawana stability ya kudumu kwenye ndoa hadi kifo kiwatenganishe, wanaachana kiholela na ndio singo maza wako wengi wa umri huo wa ki gen z
 
Big Up Mkuu
 
Kuna mdada hapa mtaani ana watoto watatu, namuuliza mbona mmeo sijawahi kumuona? Ananijibu mume wake ni dereva wa magari ya mizigo ya masafa marefu huchukua hata miezi kadhaa hayupo nyumbani. Nikamulizia tena, inakuwaje kunako majambozi na we ni mwanamke mbichi? Akanijibu yeye si fala, huwa ana mchepuko wake wa kutuliza hamu zake za kimapenzi mume wake anapokuwa mbali huko safarini. Kumbe hawa wanandoa walio wengi si waaminifu kwenye ndoa zao, huzisaliti wapatapo mchepuko. Sasa kama hawa waimbaji wanaachia wapigwe magoli seuze wanandoa wa mitaani? Ukioa ujizime data tu usiwe na wivu zuga hujui kuwa mkeo anatandikwa mboko kisawasawa kuliko wewe unavyomtandika ili maisha ya ndoa yaende
 
Noma sana
 
Huyu mjuba angeiga staili ya pastari fulani wa dar alipopata habari mke wake ananyanduliwa na njemba nyingine akapotezea na kutangaza daima anampenda mke wake hata kama ananyanduliwa nje. Hakumsakama mke wake amuaibishe zaidi, pastari huyo alilinda ndoa yake kwa akili zote. Pona ya ndoa yake ni mke wake huyo hakuikimbia ndoa licha ya ufuska wake
 
Masanja Mkandamizaji 😃
 
Back
Top Bottom