tishio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

    Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa. Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
  2. B

    Pre GE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
  3. Makosa ya Mbowe wala Lissu ni yapi wakati hiyo ndiyo siasa aka mchezo mchafu ambao machawa wanataka kuutimia kuumiza wapinzani wao wakubwa na tishio?

    Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
  4. DOKEZO Watoto wa Mitaani Mbeya wanajihusisha na matukio ya uhalifu, wanaanza kuwa tishio, Serikali itatue kabla hali haijawa mbaya

    Habari Wana Jamvi, Mitaa mingi ya Jiji la Mbeya kwa sasa imekuwa ikikambiliwa na changamoto ya ongezeko la vibaka au matukio yanayohusisha vibaka. Kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuripoti kuibiwa na kwa asilimia kubwa Wananchi wengi tunaona wanaotajwa kuhusika ni Watoto wanaoonekana...
  5. Pre GE2025 Tatizo la Lissu ni tishio kwa wenye mirija. Hawataki ikatwe. Na ukweli ni kwamba akishinda itakatwa. Undugu na kujuana mwisho!

    Dadadeki! Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana. Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti. Mimi sijui mtoto wa Mwenyekiti. Sijui mtoto wa muasisi. Sijui hawara wa kiongozi Fulani nipewe viti maalumu...
  6. Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo

    Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Temeke, Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la...
  7. R

    Untold Story: Mjue Simon Magus, mchawi tishio kutoka Israel aliyekaribia kuufuta Ukristo Duniani

    Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo. Tunathubutu kusema...
  8. Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

    Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
  9. Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

    Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa. Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL, Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi, Wana akili ya mpira na wanafanya...
  10. Utasa wazidi kuwa tishio chukua hatua hizi

    Utasa ni hali ya wenza wawili wanapokutana kimwili kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kushika ujauzito kwa mwanamke Leo ningependa niongelee utasa kwa mwanamke Mwanamke katika jamii nyingi ndio huonekana tatizo endapo mimba isipotungwa, kiutafiti aslimia kubwa zaidi utasa katika wenza hutokana na...
  11. Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

    Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma. Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu...
  12. K

    Barabara ya Kisoko-Silivini Mwanza: Hali mbaya yawa tishio kwa Watumiaji

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kisoko, Kata ya Luchelele, Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ninachojiuliza ni kuwa lini utatuzi wa barabara inayounganisha Mtaa wa Kisoko na Mtaa wa Silivini itatekelezwa? Hii barabara haipitiki kwa usafiri wa gari kutokana na uwepo wa Korongo kubwa ambalo limetokana...
  13. Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  14. Ukatili wa Mtandaoni dhidi ya Wanawake ni Tishio kwa Usalama na Haki zao

    Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa Maisha:** Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya maisha na usalama wa mwanamke. Kuvujishwa kwa Taarifa...
  15. Kwani kuna Tishio lolote Zanzibar? Kama hakuna kulikoni 'Dogo' ana Ulinzi mkali ulio makini mno?

    au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
  16. L

    Licha ya fursa inayotokana na teknolojia ya Akili Bandia watu wengi wanaichukulia kama tishio kwa ajira zao

    Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
  17. Jordan Bardella tishio kwa Rais Macron

    Uchaguzi wa bunge la ulaya umemalizika jana kwa raia kutoka nchi 27 kupiga kura kuchagua wabunge watakaowawakilisha katika bunge la ulaya ambapo vyama vya siasa vya mrengo wa kulia vimeonekana kufanya vizuri. Nchini ufaransa, chama cha mrengo wa kulia cha “National Rally, NR” kimefanya vizuri...
  18. Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  19. N

    TAWA yafanya msako wa mamba tishio kwa maisha ya binadamu Rufiji

    Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
  20. Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia. Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure. Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya. Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…