tishio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Uhuru wa Kidigitali haupaswi kuwa tishio kwa Serikali bali nyenzo ya kuimarisha uhusiano wake na Wananchi

    Uhuru wa Kidigitali ni muhimu sana kwa utawala bora katika karne hii ya 21. Teknolojia ya kidigitali inatoa fursa nyingi kwa watu kuwasiliana, kushirikiana na kushiriki katika masuala yanayohusu nchi yao. Kwa mfano, serikali inaweza kutumia mifumo ya kidigitali kuboresha upatikanaji wa huduma za...
  2. M

    Simba ni timu tishio kwa sasa klabu bingwa, imekamilika kila idara

    Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na beki kijana bwana joash onyango, Na ilo limeonekana kwenye mechi zote mbili walizocheza na timu...
  3. O

    Wizi nyumba za ibada tishio

    Matukio ya uhalifu katika nyumba za ibada yamewaibua viongozi wa dini na wanasaikolojia, huku lawama zikielekezwa kwa viongozi hao. Kwa mujibu wa wanasaikolojia, mahubiri yao yamejikita katika masuala ya ndoa, kazi na utajiri badala ya tabia njema. Licha ya utitiri wa nyumba za ibada...
  4. TODAYS

    Katika Picha hawa ni PMC Wagner Group, kikundi tishio kwenye medani za vita.

    Ukiona hiyo nembo popote duniani ujue upo nao eneo hilo au ukute kijana wako kavaa gwanda lao labda kanunua mtumbani ujue anawakilisha hao wajuba. Wanakula kiapo cha utiifu kabla ya kuingia kazini. Wakiwa kazini na behind ni baada ya kumaliza attack two. Mission za hawa jamaa kuna nchi...
  5. K

    Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

    Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu. Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza...
  6. Kalebejo

    Mwanza: Michango shule ya msingi Kilimahewa tishio

    Kwanza Kabisa nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya shule za msingi nchini lakini ninachotaka kusema ni kuwa waziri wako wa elimu ameshindwa kabisa kufikia matamanio yako ya kuona watoto wa watanzania wanyonge wanapata elimu bora kama watoto wao...
  7. Msanii

    Hebu tujiulize undani wa hili ‘Tishio la UGAIDI’

    Wengi wetu humu Tumeona, tunesikia na tumesoma tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uwezekano wa kutokea shambulio la ugaidi hapa nchini. Tumesikia mwitikio wa jeshi la polisi kuhusu hatua wanazochukua dhidi ya tahadhari hiyo huku wakituhakikishia usalama na ulinzi. Lakini mimi nineona hapo...
  8. MK254

    Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

    Raia huyo wa Iran bwana Hamidreza Mohammad Abraheh alidanganya uhamiaji kwamba ameoa Tanzania, kisha akaanza mipango yake ya hovyo kama kawaida yao...ila wamemshtukia na kumfurusha. Sielewi kwanini hawa watu wasiishi kwa amani dunia hii, wamuabudu 'mungu' wao kwa njia za amani bila kuwa kero...
  9. Shujaa Mwendazake

    Ulaya ‘haina nguvu za kutosha’ kukabiliana na tishio la Urussi – Finland

    Nchi za Magharibi zinapaswa kuimarisha ulinzi huku mzozo wa Ukraine ukiendelea, Waziri Mkuu Sanna Marin amependekeza Nchi za Ulaya zingekuwa katika hatari sasa kama isingekuwa kwa Marekani kubeba jukuu katika mzozo wa Ukraine, Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin alidai Ijumaa. Pia aliwataka...
  10. GENTAMYCINE

    Hatimaye Rapa (Atalaku), (Pitshou Lisimo) wa Wenge BCBG ampata Msaidizi wake Tishio Fusee De Guere

    Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia rapa (Atalaku) Kiongozi Pitshou Lisimo ( jina la Kimuziki GENTAMYCINE ) ila kwa sasa ameshapatikana...
  11. nipo online

    Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

    Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu. --- Joe Biden has warned the world could face “Armageddon” if Vladimir Putin uses a tactical nuclear weapon to try to win the war in Ukraine. The US...
  12. Replica

    Ugonjwa wa akili tishio nchini, wagonjwa 30-70 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku. Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Polisi Tunduru wazuia mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutokana na kuwepo matishio ya ugaidi

    Mnatuzuga
  14. Kingsmann

    SoC02 UKIMWI siyo ugonjwa tishio tena, magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa, tuchukue tahadhari

    Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
  15. I

    SoC02 Tatizo la afya ya akili chanzo cha ongezeko la vitendo tishio kwenye jamii

    Matatizo ya afya ya akili ni nini? Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
  16. BARD AI

    LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  17. UNCLE THREE

    SoC02 Hatua stahiki dhidi ya ongezeko la joto duniani

    MBINU ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIA YA NCHI. Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi ni tatizo linalokumba maendeleo ya katika nyanja zote kama inavyolipotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ulimwenguni kote ambapo majanga ya vifo, ukame, njaa yamelipotiwa kutokana na...
  18. Lady Whistledown

    Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha...
  19. Suley2019

    Mitandao inavyogeuka tishio maisha ya watu

    Licha ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa na hasara zake lukuki. Yapo mengi lakini kubwa linaloweza kuonekana kwa urahisi ni lile la baadhi ya watu kukiuka utumizi sahihi wa mitandao hiyo na...
  20. S

    Putin sio tu ni tishio kwa usalama wa nchi za Ulaya na Marekani, bail sasa ni tishio kwa uchumi wa hizi nchi, hivyo ikibidi wataungana kumuondoa

    Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama. Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
Back
Top Bottom