Nyambizi titan iliyopotea kwa siku 5 sasa, ikiwa na abiria 5 mabaki yake yapatikana na walinzi wa pwani.
Chanzo BBC
======
Mabaki yameonekana kwenye eneo la utafutaji wa nyambizi ya Titan aliyopotea Jumapili. Bado haiko wazi kama mabaki hayo kama yanahusiana na nyambizi iliyopotea, maafisa wa...