Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Wanavyosemaga Kampuni la Teknolojia Apple lina hela hawatanii. Ndio maana kuchoma Trillion 25 kwa miaka 10 kwenye R&D, kwao ni hela ndogo (hii ni sawa na net profit ya mwezi mmoja!)
Sasa, hawa jamaa mwaka 2014 walipata wazo la kuingia kwenye sekta ya magari, na kutaka kutengeneza gari la umeme (EV) ambalo litakua full autonomy (yaani linajiendesha lenyewe asilimia zote), waliita Project Titan.
Kufika mwaka 2019, Apple waliinunua kampuni ya Drive.ai ambayo ilikua inajikita katika R&D za selfdriving cars.
Apple pia walitengeneza chip maalum kwaajili ya ayo magari ikiwa na processing power sawa na chip za M2 Ultra zikiwa nne (kwa pamoja), wakaiita SafetyOS.
Ila pamoja na mbwembwe na gharama zote, mwaka 2024 Project Titan ilikua cancelled. Hii ilipelekea watu zaidi ya 600 kupoteza ajira.
Sababu kuu za kuterminate hii project ni ushindani mkali wa sekta ya EV ulioibuka, waliproject wakaona faida ndogo, na challenge za kiufundi.
Kwahiyo Apple wakaona tu kwenye issue ya magari wabaki na Apple Car Play ambayo tunaona imekua integrated na magari mengi sana siku hizi.