Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kusema China anawaibia Congo ni kutafuta ugomvi na mchina wa Tunduru Xi JinpingKwenye EV's wachina wamekaba Kona zote.
Mchina anatengeneza magari ya bei rahisi Sana yenye feature sawa na Tesla na wengine.
madini ya kutengeneza EVs battery Aina ya graphite yanazalishwa ndani ya china pia na madini mengine ya colbat wanaiba kutoka Congo ndiyo maana inakuwa rahisi Kwa mchina kufanya vyema kwenye industry ya magari ya UMEME .
Mwezi uliopita mkurugenzi mtendaji wa mercedes amependekeza makampuni yote ya magari ndani ya ulaya waachane na ishu za kuzuia magari ya ICE pia juzi boss mwingine wa BMW nae ametoa onto Kwa nchi za ulaya kuacha wazo la kusitisha magari ya UMEME ifikapo 2035.
Game limekataa mno Kwa wazungu na magari Yao ya UMEME