title

  1. Wakuperuzi

    Nataka kumuacha Mke wangu

    Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda. Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
  2. M

    Research design ipi ni nzuri kutumia kwa title ya pandemic outbreak kama COVID-19?

    Wakuu habari za weekend, Naomba kuuliza, hivi unapo conduxt research kwa title za natuaral disaster kama COVID-19 , NI RESEARCH DESIGNI ipi ni nzuri kuitumia hasa kama unatumia case study ya mkoa mmoja katika taasisi moja? Na je sample size and techiniques , katika designi iyo ni ipi ina kuwa...
  3. Pascal Mayalla

    Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
Back
Top Bottom