Wakuu habari za weekend,
Naomba kuuliza, hivi unapo conduxt research kwa title za natuaral disaster kama COVID-19 , NI RESEARCH DESIGNI ipi ni nzuri kuitumia hasa kama unatumia case study ya mkoa mmoja katika taasisi moja?
Na je sample size and techiniques , katika designi iyo ni ipi ina kuwa...