GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.
Kwa heshma na taadhima naomba kura kwa Harold Sungusia. Ni wakati wa TLS kutoka kwenye mkwamo na kurudi kutumikia wanachama.
Sungusia ni nani?
Mbali na uzoefu wake wa zaidi ya miaka 20 kwenye uwakili na kufanya kazi na mashirika mengi ya ndani na kimataifa, Sungusia ni mtu mwenye uzoefu mkubwa...
Mawakili wapinga azimio la TLS kulazimisha Mawakili wa Tanganyika Law Society kupitia azimio la mkutano wao wa mwaka AGM annual General Meeting kuwa wanachama wa EALS ambapo itakuwa lazima walipie $20 kuwa wanachama kwa lazima wa chama cha Mawakili Afrika ya Mashariki - East Africa Law Society...
1) NAWASHUKURU SANA Wanasheria wa LEAT (Lawyers' Environmental Action Team) kwa hii Taarifa yao kwa Umma (ya tarehe 07.11.2022) iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LEAT, Dr. Rugemeleza A. K. Nshala.
Hii ni kufuatia Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotumbukia majini jana asubuhi huko...
Salaam Wakuu,
Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya mawakili kuwatapeli wananchi kwa sababu ya kutojuwa sheria na mawakili hawa kuutumia umbumbumbu wa sheria wa wananchi kuwafanyia matendo ya dhulma badala ya kuwapa elimu.
Sasa nauliza TLS wana kitengo kama una malalamiko na uadilifu wa wakili fulani kwenda...
TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao.
Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
1. HUDUMA NA USTAWI WA WANACHAMA
- Mpango wa Bima nafuu kutoka TZS 1,056,000 mpaka kufikia TZS 500,000 kwa mwanachama kwa mwaka.
-Juhudi za kufanya mazungumzo na Mahakama kuhakikisha miundombinu rafiki kwa Mawakili wenye ulemavu katika majengo ya mahakama.
- Kuwezesha jukwaa la Mawakili...
Mara kadhaa Prof. Hosea alipokuwa anaulizwa kuhusu msimamo wa TLS issue ya akina Halima Mdee alikataa kutoa msimamo wa chama hicho Cha kitaaluma. Ameona uchaguzi umekaribia na wapinzani wake wameelekea kushinda ameamua kupingana na msimamo wa Bunge, Mahakama na Serikali na kuja na msimamo wa...
Nadhani TLS Ina wanachama wasio na akili na mawazo yakujitegemea;wanachama wengi wana mawazo kama yalivyo maono ya Watumishi wa Umma kwamba serikali ikupe posho,salary,nyumba,matibabu nk lakini pamoja na vyote hivyo mtumishi huyu anashindwa kujenga japo nyumba huku asiye na kazi aliyepo Kijijini...
"....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu!
"....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya. Mimi siyo mropokaji kama wengine mlivyojaliwa (dongo kwa TL) na kupenda kujipendekeza."
"....wakili...
Uchaguzi wa TLS umewadia na sasa kuna wagombea watatu ambao watachuana kikamilifu kwenye kinyanganyiro hicho ambacho Kwa hakika mwaka huu kitakuwa NI mchuano wa kukata na shoka!
Wagombea waliopitishwa ni Prof.Edward Hosea,Adv.Jeremiah Mtobesya na Adv.Harold Sungusia .
Wapo wanafikiri kuwa Mzee...
02 February 2022
Dodoma, Tanzania
SIKU YA SHERIA
Tanganyika Law Society TLS ambacho kilikuwa chama huru cha wanataaluma ya sheria kukubali kuhamia Dodoma makao makuu huku kikiwa na jengo lake la Wakili House jijini Dar es Salaam walilolijenga kwa juhudi zao kama wanataaluma ni hatua mojawapo...
Wakili wa kujitegemea mkoani Iringa, Geofrey Mwakasege amefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (kanda ya Iringa) akitaka mahakama hiyo itamke kuwa mawakili wa kujitegemea wana haki ya kutangaza huduma za kisheria kwa umma kama zilivyo biashara nyingine. Katika kesi hiyo namba...
Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na uundwe upya ili kulinda haki za raia na watu .
Azungumzia mazito kuhusu
Nolle prosequi / kufutiwa...
Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa
1. Watanzania tuna matatizo gani, pesa zinazoitwa za serikali in zetu siyo za viongozi kwanini wanazitumia hovyo alafu sisi tupo kimya?
2. Wabunge ambao inasemekana ni wawakilishi wetu ambao wanaisimamia serikali,in wawakilishi ukweli au wapo kwa maslahi yao...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona...
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda...
Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia.
Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji.
Cha kushangaza Mwambe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.