tokyo

  1. Ndebile

    Ufunguzi wa Olympic Tokyo Japan: Bendera ya Tanzania imeingia peke yake

    Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo tumekosa watu wa kushiriki? Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!
  2. beth

    #COVID19 Japan kutangaza hali ya dharura Jijini Tokyo kutokana na janga la COVID-19

    Japan inatarajiwa kutangaza Hali ya Dharura Jijini Tokyo ili kukabiliana na wimbi la Virusi vya Corona. Michuano ya Olimpiki imepangwa kuanza Julai 23, 2021 na itafanyika kwa wiki mbili Uamuzi wa kutangaza Hali ya Dharura unakuja baada ya ongezeko la visa. Kwa wiki kadhaa Wataalamu wa Afya...
  3. BLACK MOVEMENT

    Mashindano ya Olimpiki: Tanzania kupeleka wanariadha 3 tu?

    Aiseee sijui kama tuko sawa au kuna shida sehemu. Nilisikitisjwa sana juzi kusikia kwamba Tanzania itapeleka wanariadha watatu pekee kule Tokyo Japan. Hii ni ajabu sana na sijajua tunakwama wapi sisi. Kadri miaka inavyo songa mbele ndivyo tunavyo kosa u seriouse, na tunavyo endelea huenda...
  4. beth

    #COVID19 Japan: Tokyo yahofia uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la mlipuko wa COVID-19

    Ongezeko la maambukizi #Tokyo limesababisha hofu ya uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la Virusi vya Corona, ikiwa ni takriban mwezi mmoja kabla ya michezo ya Olimpiki. Ishara kuwa visa vimeongezeka zilionekana siku chache baada ya Serikali kuondoa hali ya hatari Tokyo na Mikoa mingine 9, licha...
Back
Top Bottom