Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali!
Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo.
Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde?
R.I.P Tongolanga, kwangu utabaki kuwa mwanamuziki bora daima.
-kila munu avena kwao
-chilamba cha vene
-sanura
-baba...
Aisee yule mmakonde alikuwa hatari bwana.
Leo na hii mvua ya tangu jana usiku nikaona ngoja nijisikilizie nyimbo zetu za utuvu ndipo nikakutana na hii kitu 'Sanura' kutoka kwa huyu Tongolanga, aisee! Hiki kibao acha kabisa, kinavuta hisia balaa, unaweza kujikuta umekumbatiana tu na mpenzi wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.