tongolanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kama ingekuwa ni embe; basi Tongolanga na Saida Karoli ni embe za mdondo linapokuja suala la kipaji Cha muziki

    Yaani ukimsikiliza Tongolanga, unajua kabisa hapa kulikuwa na mtu haswaa aliyezaliwa kwa ajili ya kuimba. Kila munu ave na kwao i-4, sanura, baba na mama, mpenzi Nuru, chilambo Cha vene.......dah, acha kabisa! R.I. P Field Marshal Haya, ukija kwa dada yangu Saida Karoli; yaani halazimishi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua aliyeghani pamoja na Tongolanga katika wimbo 'Baba na Mama'

    Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali! Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo. Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde? R.I.P Tongolanga, kwangu utabaki kuwa mwanamuziki bora daima. -kila munu avena kwao -chilamba cha vene -sanura -baba...
  3. W

    JamiiForums Tanzania BASATA upatieni tuzo wimbo wa Tongolanga unaoitwa 'Sanura'!

    Aisee yule mmakonde alikuwa hatari bwana. Leo na hii mvua ya tangu jana usiku nikaona ngoja nijisikilizie nyimbo zetu za utuvu ndipo nikakutana na hii kitu 'Sanura' kutoka kwa huyu Tongolanga, aisee! Hiki kibao acha kabisa, kinavuta hisia balaa, unaweza kujikuta umekumbatiana tu na mpenzi wako...
Back
Top Bottom