Kama ingekuwa ni embe; basi Tongolanga na Saida Karoli ni embe za mdondo linapokuja suala la kipaji Cha muziki

Kama ingekuwa ni embe; basi Tongolanga na Saida Karoli ni embe za mdondo linapokuja suala la kipaji Cha muziki

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Yaani ukimsikiliza Tongolanga, unajua kabisa hapa kulikuwa na mtu haswaa aliyezaliwa kwa ajili ya kuimba. Kila munu ave na kwao i-4, sanura, baba na mama, mpenzi Nuru, chilambo Cha vene.......dah, acha kabisa! R.I. P Field Marshal

Haya, ukija kwa dada yangu Saida Karoli; yaani halazimishi kabisa fani Bali inajileta yenyewe.......sweet Tanzania, karanga, mapenzi kizunguzungu n.k. Binafsi huwa sichoki kumsikiliza huyu dada aisee.

Maisha hayako fair, unawezakuta Wanaman ana Hela nyiiiiingi kuliko.😭😭😭
 
Field marshal Halila Tongolanga,wa kukaya nchichira!
 
Back
Top Bottom