too much

"Too Much, Too Young, Too Fast" is the 2nd single from Runnin' Wild by the Australian hard rock band Airbourne. It is one of the band's most famous songs.

View More On Wikipedia.org
  1. Baraka21

    Radio Safina this is too much

    Maombi tumeanza saa tano usiku hadi sasa hivi yanaendelea na ni kila siku. Sasa hivi ndio mkurugenzi mkuu Daniel Lema kaingia na maombi mengine. Hapa shetani lazima aombe poo! Hongereni watu wa Arusha. Kwa maombi haya huwa mnalala kweli? Tupeane uzoefu. Watu wengi waliopiga simu na tatizo...
  2. S

    Rais Samia amekuwa mzito sana wa kufanya maamuzi

    Kila kitu kinachofanyika, kutendeka au kutendwa, kinapaswa kuwa katika kiwango ambacho hakipungui sana au kuzidi sana(kiwe within reasonable limits). Kwa msingi huo, hata viongozi wetu katika kufanya maamuzi, wanapaswa kuzingatia hilo ili wasiharubu, na pia ili wasionee watu. Mwendazake katika...
  3. S

    Sina chuki nao, ila mishahara ya wabunge ni 'too much'

    Huo ndio ukweli mishahara ya au mshahara wa mbunge na mapochopocho wanayokwapua au kulipwa ni mishahara hatarishi kwa Taifa letu ambalo linajikongoja. Ajira ya ubunge sasa imekuwa ni ya kufa na kupona. Hivi kazi hii kweli mmeifuatilia na kipimo cha mtu anachokwapua, wengi huwa wanachomekea tu...
Back
Top Bottom