totalenergies

  1. Pascal Mayalla

    Total yabadili jina sasa kuitwa TotalEnergies

    Wanabodi, Kampuni ya Total, ambayo ndio kampuni kubwa ya Mafuta kwa nchi za Afrika Mashariki na ya 5 duniani, imebadili jina kutoka Total, na kuwa TotalEnergies. Wewe kama mwana JF, be the first to know!. Paskali.
Back
Top Bottom