Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamepakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Spacio namba Z 844 AAU, ambalo kwa kawaida lina uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba.
Katika hali isiyo ya kawaida, idadi hiyo kubwa ya...