Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamepakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Spacio namba Z 844 AAU, ambalo kwa kawaida lina uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba.
Katika hali isiyo ya kawaida, idadi hiyo kubwa ya abiria imezua gumzo miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, wengi wakishangazwa na namna watu hao walivyoweza kutoshea ndani ya gari hilo. Tukio hilo limetokea Zanzibar, huku video hiyo ikiendelea kusambaa na kuvuta hisia za watu mitandaoni.
Hata hivyo, mazingira kamili ya tukio hilo na sababu zilizowafanya abiria hao kusafirishwa kwa idadi hiyo bado hayajafahamika.
Mh! wakuu hivi gari kama Toyota Spacio inakua na seat ngapi? yani hata Alphard au Noah haiwei kutoshea watu 27, yaani dereva wa hilo gari anastahili faini zile za kuwajibika na "vyote kwa pamoja"😀😀🙌