Vitu vingine unaweza dhani ni uongo au nogesha genge. Mbeya hiyo kitu ni kweli na Traffic wanawaangalia tuHiyo style nilisikiaga kuna dereva alikosa balance akaruka nje kawaachia msala abiriaš
Vitu vingine unaweza dhani ni uongo au nogesha genge. Mbeya hiyo kitu ni kweli na Traffic wanawaangalia tuHiyo style nilisikiaga kuna dereva alikosa balance akaruka nje kawaachia msala abiriaš
Yah naonaga, kuna muda walikuwa wanapigwa fine mbele wakikaa abiria wawili now wamejiachia tena.Vitu vingine unaweza dhani ni uongo au nogesha genge. Mbeya hiyo kitu ni kweli na Traffic wanawaangalia tu
Isije kuwa hawa wenzetu nao wameanza content creation!Yaweza Kuwa Gari Inamiujiza [Miracle ]
Ameipaka Mafuta, Maji Ya Apostle
Ikaongezeka Seat Na Kimo Urefu
Kwamba huenda madogo walikuwa wana pita kutoka upande wa pili?Isije kuwa hawa wenzetu nao wameanza content creation!
Heri mimi sijasema!!!Kwamba huenda madogo walikuwa wana pita kutoka upande wa pili?
hahahahaa,kama lubumbashi tu,karina inabeba watu wazima kama hiyo idadiNjoon bukoba, muleba kwenye ist kwa dereva wanakaa watano katikat 7 kweny but 6
hahahahahaha,inawezekana maana camera ilikua angle moja tu, halafu dereva anacheka cheka tuIsije kuwa hawa wenzetu nao wameanza content creation!
Bajaji zinapakia 9Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamepakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Spacio namba Z 844 AAU, ambalo kwa kawaida lina uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba.
Katika hali isiyo ya kawaida, idadi hiyo kubwa ya abiria imezua gumzo miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, wengi wakishangazwa na namna watu hao walivyoweza kutoshea ndani ya gari hilo. Tukio hilo limetokea Zanzibar, huku video hiyo ikiendelea kusambaa na kuvuta hisia za watu mitandaoni.
Hata hivyo, mazingira kamili ya tukio hilo na sababu zilizowafanya abiria hao kusafirishwa kwa idadi hiyo bado hayajafahamika.
Mh! wakuu hivi gari kama Toyota Spacio inakua na seat ngapi? yani hata Alphard au Noah haiwei kutoshea watu 27, yaani dereva wa hilo gari anastahili faini zile za kuwajibika na "vyote kwa pamoja"ššš
Unguja!waliokuwa wamepakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Spacio namba Z 844 AAU,
lakini mbona gari za abiria zinabeba hadi watu wanasimama ila hawakamatiKisheria hii imekaeje? Analipishwa faini au ana case ya kujibu?
Yawezekana ni michezo hii,watu wanaingilia upande wa pili ambako camera haioneshi halafu wanatekea kwenye camera.Mbona kama wamezidi 27
mkuu unawasanua traficNjoon bukoba, muleba kwenye ist kwa dereva wanakaa watano katikat 7 kweny but 6
kagera bodaboda anakaa kwenye usukani huku nyuma kapakiza watu kijijiMbeya dereva bajaji anakaa nje maana siti yake wanakaa abiria watatu.
Hiyo style nilisikiaga kuna dereva alikosa balance akaruka nje kawaachia msala abiria